Kutokana na mvutano
unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na Chadema
imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani kigoma,
sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao zitto kabwe ndani ya
chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa
mkoani kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha chadema Mwaka 2010 Ally
mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa. Hali ni mbaya mkoani
hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.
Source please!
Kutokana na mvutano unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na Chadema imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani kigoma, sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao zitto kabwe ndani ya chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa mkoani kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha chadema Mwaka 2010 Ally mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa. Hali ni mbaya mkoani hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.
:A S 2152:Tehe tehe tehe....! wakati chadema wanatumia nguvu nyingi kuitafuta nafasi ya kuingia Ikulu basi CCM wanacheza na Pychology na kutumia akili kuwa malizakwani zito siwalisema kwa bab ni mchaga inakuwaje tena jamani,
watabaguana mpaka basi kwa vile ubaguzi ndani ya chadema ni jadi yao na bado kazi inaendelea.
:A S 2152::A S 2152:Tehe tehe tehe....! wakati chadema wanatumia nguvu nyingi kuitafuta nafasi ya kuingia Ikulu basi CCM wanacheza na Pychology na kutumia akili kuwa maliza
Kutokana na mvutano unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na Chadema imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani kigoma, sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao zitto kabwe ndani ya chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa mkoani kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha chadema Mwaka 2010 Ally mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa. Hali ni mbaya mkoani hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.
zitto zubeir kabwe kutogombea 2015

Yeah, amejigundua kuwa ameishiwa!!
maelezo yake yanajitosheleza kwani inaonekana yuko eneo ya tukio na anashuhudia mambo yanavyokwenda mrama.Source please!
Mdharau mwiba miguu huota tenda, sasa CHADEMA ubaguzi wao utawatafuna sana.Kigoma ndo ngome kuu ya CHADEMA KAMA HAUJUI