Paschal Joseph Haule
Member
- Jul 12, 2013
- 10
- 0
kazi ya kuvua magwanda na kuvaa uzalendo inaendelezwa kwa kasi na makada wa ccm waakiongozw na lyotela na clovera. Wamefanikiwa kuivunja chadema kwa kuzoa viongoz waake akiwamo aaliyekuwaa mwenyekiti wa tawi ndg. Newton chamkongo. Vivaa comrades
Wana maamuzi waache tu ila najua baada ya muda watajuta kama wameondoka kwa makelele maana watataka kurudi ila sasa itakuwa shida .Hawajachukua chao kweli hao watoto ?
Kazi ya kuvua magwanda na kuvaa uzalendo inaendelezwa kwa kasi na makada wa ccm waakiongozw na Lyotela na Clovera. wamefanikiwa kuivunja chadema kwa kuzoa viongoz waake akiwamo aaliyekuwaa mwenyekiti wa tawi ndg. Newton Chamkongo. vivaa comrades[h=2]Jordan Uniersity College[/h]
Mkuu; zitto anaweza kuingia kwenye uzi huu kimantiki kweli? .Aliondoka Zitto, itakuwa hao? Muulize Lukosi huko UK, ndiyo kwanza Chadema inazidi kupaa.... CCM USA nako chali.....
Kazi ya kuvua magwanda na kuvaa uzalendo inaendelezwa kwa kasi na makada wa ccm waakiongozw na Lyotela na Clovera. wamefanikiwa kuivunja chadema kwa kuzoa viongoz waake akiwamo aaliyekuwaa mwenyekiti wa tawi ndg. Newton Chamkongo. vivaa comrades
Mkuu; zitto anaweza kuingia kwenye uzi huu kimantiki kweli? .
Unachipua vyema zaidi