Chadema yapukutika Jordan Uniersity College

Chadema yapukutika Jordan Uniersity College

Walianza TLP, NCCR na sasa CDM wanakata tiketi kila la heri jamani.
 
Kazi ya kuvua magwanda na kuvaa uzalendo inaendelezwa kwa kasi na makada wa ccm waakiongozw na Lyotela na Clovera. wamefanikiwa kuivunja chadema kwa kuzoa viongoz waake akiwamo aaliyekuwaa mwenyekiti wa tawi ndg. Newton Chamkongo. vivaa comrades

hiyo university imesajiliwa TCU?
 
ccm ni mafisadi lakini kwa hili la kuwashughulikia wanakasikazini mmewaweza, hata wakijipa matumaini vipi wao wenyewe wanajutia walichokifanya kuwa ni maamuzi ya kizandaki.
 
Back
Top Bottom