CHADEMA yapoteza majimbo matatu tayari mpaka sasa

CHADEMA yapoteza majimbo matatu tayari mpaka sasa

Hizi ni akili za ccm.

1. Kwamba chama ni dhaifu, lakini wao mmoja mmoja wana nguvu.

2. Eti wanalalamika kwamba ccm imehsindwa kuondoa kero kwa wananchi, imeshamiri kuwaibia na kushamirisha rushwa na ubwenyenye, lakini eti yakipewa uongozi kwa sasa limoja limoja, yataweza hata kama ccm haiwezi!. Huu ni zaidi ya wendawazimu!.

Naona na wewe hapa unataka kuwaamishisha watu kwamba hao wabunge walichaguliwa na wananchi kwa sababu ya uwozo na sifa zao kama wao. Unasahau kwamba wananchi waliwachagua kwa nguvu ya CHADEMA chama ambacho kimezidi kuimarika kulilko miaka mitano iliyopiita.

Utaona October mnavyonyolewa wakavu bila maji!


Baada ya Wabunge watatu tena wa Majimbo kujiondoa wenyewe CHADEMA kwenye hesabu za haraka haraka ni kwamba CHADEMA imepoteza majimbo ya Kigoma Kaskazini kwa Zitto Kabwe, Mpanda mjini kwa Said Arfi na Maswa Mashariki kwa John Shibuda.
 
Nabado watajua kuwa kuna mungu mmoja hawaengine vilaza tu
 
Back
Top Bottom