JOHN WA MARWA
Senior Member
- Nov 16, 2013
- 100
- 61
Baada ya Wabunge watatu tena wa Majimbo kujiondoa wenyewe CHADEMA kwenye hesabu za haraka haraka ni kwamba CHADEMA imepoteza majimbo ya Kigoma Kaskazini kwa Zitto Kabwe, Mpanda mjini kwa Said Arfi na Maswa Mashariki kwa John Shibuda.