Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,199
Mheshimiwa Zitto, mikakati yako hapo Igunga sidhani kama Mzee Mangula anaweza akaambulia chochote sana sana atosoma tu kwa shido tena kwa mbaaali sana Jahazi letu la kampeni, MV CHADEMA, likishapita kwa mbali sana.
Hakika CCM watawatambua uzuri utamu wa CHADEMA CUBS (BAVICHA na vijana wa vyuo vikuu ) hapo Igunga.
Hakika CCM watawatambua uzuri utamu wa CHADEMA CUBS (BAVICHA na vijana wa vyuo vikuu ) hapo Igunga.