Tony Almeda
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 397
- 122
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo, Jumatano kikosi maalum cha kampeni.
Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA, JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE. Wakuu hapa magamba kwisha kazi!!
SOURCE: MWANAHALISI Sept 21
Mpaka uongozi wa kijiji utabadilika sasa. Moto chini
MIKAEL AWEDA : MPELEKENI NYERERE MAENEO YA VIJIJINI.
kulingana na utafiti wa gazeti la mwanahalisi CCM ina nguvu sana maeneo ya vijijini mwa kaskazini ya igunga kwenye kata kama 4.
sasa maeneo hayo dawa yake ni kumpeleka vicent nyerere kwani jina la huyu babu ndio watu wengi limewaweka ccm sasa wakimuona
hata watu NDANI YA FAMILIA YA NYERERE HAWAITAKI CCM HIYO INAWEZA KUWA KIVUTIO KIKUBWA KUWASHAWISHI WATU WA VIJIJINI
KUBADILIKA NA PILI LAZIMA TUKUBALI KUWA SIASA ZA TANZANIA BAHATI MBAYA BADO ZINATAWALIWA NA MAJINA KWA KUTUMIA JINA LAKE ANAWEZA AKAWA KIVUTIO KIKUBWA CHA KUKUSANYA WATU WENGI ZAIDI KWENYE MIKUTANO HIYO NA HATA KUWABADILI MAWAZO.
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
Jamani shibuda anawezakuwa kabadilika na aende pia
Lo! mi nifikiri majeshi ya vita kama tunavyoona Libya kumbe ni wapambanaji na wateteaji wa walala hoi.Mungu atasimama upande wa upinzani ili jimbo lisibaki mikononi mwa chama cha mafisadi.Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.