CHADEMA yapeleka majeshi ya ardhini Igunga

Tony Almeda

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
397
122
Wadau kile chuma cha pua kinachogwaya na magamba kiko njiani kuelekea uwanja wa mapambano Igunga.
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo, Jumatano kikosi maalum cha kampeni.

Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA, JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE. Wakuu hapa magamba kwisha kazi!!

SOURCE: MWANAHALISI Sept 21
 
Labda bado wanakategemea kale ka-hoja kao ka yule DC 'kudhalilishhwa' ambako wanadhani katawasaidia. Nasikia yeye mwenyewe DC anapinga kutumiwa ile picha katika kampeni za CCM.
 
MIKAEL AWEDA : MPELEKENI NYERERE MAENEO YA VIJIJINI.

kulingana na utafiti wa gazeti la mwanahalisi CCM ina nguvu sana maeneo ya vijijini mwa kaskazini ya igunga kwenye kata kama 4.
sasa maeneo hayo dawa yake ni kumpeleka vicent nyerere kwani jina la huyu babu ndio watu wengi limewaweka ccm sasa wakimuona
hata watu NDANI YA FAMILIA YA NYERERE HAWAITAKI CCM HIYO INAWEZA KUWA KIVUTIO KIKUBWA KUWASHAWISHI WATU WA VIJIJINI
KUBADILIKA NA PILI LAZIMA TUKUBALI KUWA SIASA ZA TANZANIA BAHATI MBAYA BADO ZINATAWALIWA NA MAJINA KWA KUTUMIA JINA LAKE ANAWEZA AKAWA KIVUTIO KIKUBWA CHA KUKUSANYA WATU WENGI ZAIDI KWENYE MIKUTANO HIYO NA HATA KUWABADILI MAWAZO.
 
Kwa kuboresha tu hii post yako, siku ya kupiga kura wajaribu kuwaweka wabunge wao kwenye vituo vya kupigia kura hasa vile wanavyo hisi vinaweza kuwa rahisi kwa kuchakachulia matokeo. Angalizo wasimuweke Shibuda na wa aina yake, anyway nadhani hata wao wanajua kati yao nani ni mbwa mwitu katikati ya kundi la kondoo.
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21

Hii ni kamata mwizi men! kamata mwizi dad! Oh mama!
Yaani sisiemu hawaelewi tu kwani hata kaimu mkuu wa mkoa wa Tabora Bw. Mussa Chang'a amekubali jimbo linakwenda CHADEMA na hivyo sisiemu watakuwa wapinzani.

Ni hayo tu!!
 
kama inawezekana ianzishwe kampeni ya mtaa kwa mtaa!!pelekeni wasomi wenye hoja zinazohusu ccm na hali ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja,
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.
 
mpaka kieleweke, hawakuwa na hoja wala ajenda yeyote huko Igunga, naona kukamatwa kwa yule dc ndo wamepata ajenda. watuambie nini hasa kipya walichonacho huko igunga
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
Lo! mi nifikiri majeshi ya vita kama tunavyoona Libya kumbe ni wapambanaji na wateteaji wa walala hoi.Mungu atasimama upande wa upinzani ili jimbo lisibaki mikononi mwa chama cha mafisadi.
 
mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.

poor thinker ni anayeridhika hovyohovyo, ila great thinker hana tabia hiyo, na ndicho cdm wanachokifanya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom