Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Chama cha demokrasia na maendeleo kimezidi kupata wakati mgumu katika harakati zake za kuchukua jimbo la arumeru mashariki ugumu huo umejitokeza baada ya madiwani wote wanaokiwakilisha chama cha mapinduzi kufanya kampeni kila kata ambapo inasemekana kila siku kuanzia jana alhamisi zaidi ya mikutano 45 hufanyika jimbo la arumeru lenye kata 17 zikiwa mikononi mwa chama cha mapinduzi halijawahi kuongozwa na (mb) kutoka chama chochote kutoka upinzani tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 hata hivyo wachambuzi wa mambo ya siasa wanasema chama cha demokrasia na maendeleo chadema chaweza kupewa dhamana na wananchi kutokana na hali ngumu ya maisha jimboni humo!