Hii ni siasa na huo ni mtazamo wao ila mapambano yanasonga mbele, bora mamluki wajitoe mapema, wanatarajia cdm kufanya makubwa pasipo kukusanya kodi kwa wananchi.. sijui wametokea sayari gani.
Kwa akili ya kawaida tu unaelewa kwamba haya ni mambo ya kupikwa. Basi huo mkutano utakuwa umevunja rekodi ya mahudhurio, manake CDM tu walihudhuria 365 ambao walirudisha kadi, achilia mbali ambao hawajarudisha kadi, wananchi wa kawaida na wanaccm wenyewe sasa. ccm wana utaratibu wao wakuwagawia wanachama wao kadi za CDM ili wazirudishe kwenye mikutano ili kuwapiga wananchi changa la macho. Wanacheza mchezo wa 1 + (-1) = 0.
Muda huu wa kupiga propaganda na kuchezea feza zetu kuwaalika wageni, mngetumia kuleta maendeleo ninge waona wa maana sana, sasa chama tawala nacho kinapiga pro, kin honga wezi wakati nyie ndiyo mlio shika serikali na mnakila nafasi ya kuleta maendeleo ya uhakika, na nyie mnaimba taarab, je mkiwa cham pinzani si ndiyo mmejimalilza wenyewe
weee wasafwa tuko makini,huyu hata akili zake ndo zilivo hvo hvo maana mwandiko heruf zimebebana mara nafasi,hawa ni vijana waliosoma kipindi cha mulugo..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.