CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

Njaa hufisha na kuondoa hekima na busara
Na haijawahi kutokea mtu akawa na njaa na akawa na uwezo was kufikiri vizuri. Ebu chukulia mfano BAWACHA wanavyowakomalia akina Mdee watoke Bungeni wakati sio wanachama wao. Unafikiri ni nini kama sio njaa!! Ahahahahahahah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…