CHADEMA yapaa vijijin (interior)


2010 waliiba kura lakini 2015 tutalinda kura kwahiyo ccm lazima ing,oke hata baba mwanaasha analijua hilo . Baba mwanaasha ataamua kuiingiza nchi kwenye machafuko au ccm itoke madarakani dhamana hii yote ipo mikononi mwake.
 

Kamanda big up sana , watanzania tukifanya kama huyu nchi inabadilika haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…