CHADEMA yanunua wagombea wa CUF

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawili wa CUF wamepenyezewa noti ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOMBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. MWINGINE NI BWN AYUBU. BD INTELIJISIA AT WORK.
 
mkusanyiko wa chagadema na waliberali inabidi kuwa roho ya paka kuukubali.
 
ccm ukoo wa panya, wakoloni weusi, hv kweli munalala kwa amani nyie? hujatugawa jipange tena
 
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawali wa CUF ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. BD KITENGO CHA INTELIJISIA AT WORK

Geita is my home town,hakuna kata inaitwa NYAMLOBE
 
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawali wa CUF ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. BD KITENGO CHA INTELIJISIA AT WORK
Kwa kuwa umeiweka kama tetesi uwezekano ni mkubwa sana kwamba hii habari imepikwa
 
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawili wa CUF wamepenyezewa noti ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOMBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. MWINGINE NI BWN AYUBU. BD INTELIJISIA AT WORK.

Wewe ni wa kupuuzwa tu huna jipya hapa. Hizo propaganda zako hazitaweza kitu. Wananchi tuko imara sana. Bring back our Escrow monies, you FISADIS! Huu upuuzi hatutaki kuusikia. Nilishakwambia Pilipili usiyoila yakuwashiani? Acheni propaganda hizi za mfa maji
 
Chini ya utawala wa CCM,Tanzania ni Paradiso la Mafisadi.CCM iondoke ili nchi isonge mbele.
 
Pole sana kwa Thread zako zakitoto kama ile michezo mnayocheza ya Escrow ambayo inawajambia sasa mpaka mnakimbizana Dom, ukawa ni mungano wa vyama vilivyokubaliana kwahiyo lumumba kuzungumzia mambo ya ukawa ni uzandiki na kuchanganyikiwa kama kuku aliyekosa mahali pakutagia yai hakuna aliye nunuliwa niko kwenye mawasiliano kwenye mkoa huo pole sana kwa porojo zenu zilizochuja
 
Pole sana kwa Thread zako zakitoto kama ile michezo mnayocheza ya Escrow ambayo inawajambia sasa mpaka mnakimbizana Dom, ukawa ni mungano wa vyama vilivyokubaliana kwahiyo lumumba kuzungumzia mambo ya ukawa ni uzandiki na kuchanganyikiwa kama kuku aliyekosa mahali pakutagia yai hakuna aliye nunuliwa niko
kwenye mawasiliano kwenye mkoa huo pole sana kwa porojo zenu zilizochuja

ukikomenti thread ya kitoto lazm nawe uwe mtt tena mzuri
 
Wewe ni wa kupuuzwa tu huna jipya hapa. Hizo propaganda zako hazitaweza kitu. Wananchi tuko imara sana. Bring back our Escrow monies, you FISADIS! Huu upuuzi hatutaki kuusikia. Nilishakwambia Pilipili usiyoila yakuwashiani? Acheni propaganda hizi za mfa maji

mkuu soma vizuri
 
Bado hakuna kata ya nyamalombe Geita...muachage kuwa mnakurupuka nyie gambaz...next time sema NYAMALEMBO....ny.amba.fu we Assadsyria , na hakuna kitu kama ulichoki post hapa.

at last u get it
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom