nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
hata ya njombe hayako mkuu., na bila kusahau kyela!Ya sumbawanga yalikuwa hivi;
,
CHADEMA-39,
CCM-4
Mtaa mmoja umewekewa kipingamizi. Jumla ni mitaa 44 katika kata tatu.
Why hayamo kwenye post iyo?
Leo wewe usivae bikiniTena usisahau kuvaa night dress
kama matokeo ndiyo haya hata kama ni sample, CCM wamepata wapi huo shndi wa jumla?Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu!
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50
weka ya ukweli.Haya niyauongo(i think so). Coz sumbawanga nayo ilifanya the same time na sehemu nyingine. Jamaa alikurupuka kuandika urongo na akasahau kwingine.
Si kweli.
kama matokeo ndiyo haya hata kama ni sample, CCM wamepata wapi huo shndi wa jumla?
CHADEMA inazidi kuwa tamu zaidi ya mcharo...
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50
Huo uchaguzi ulifanyika lini?.
Mkuu huo uchaguzi ni wa lini? hebu fafanua vizuri