CHADEMA Yamwaga ajira Zanzibar.

CHADEMA Yamwaga ajira Zanzibar.

Status
Not open for further replies.

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.

Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.
 
gooood chadema,anza movement kwa ajiri ya uchaguzi wa serikali za mitaa,mda haupo
 
M4C mmelala uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi wa kumi sio mbali,wazee tuamke tuachane na Zitto kwani kwa sasa hana jipya.
 
Hii ni Habari Nzuri sana, Ukizingatia Chadema inakwenda kuchukua Dola 2015 kwahiyo ni vizuri kuwa na mtu wa kupata na kutoa taarifa za upande wa Zanzibar.

Kwakuwa sasa tunaelekea kwenye serikali tatu ni vema Chadema ikaongeza Ushawishi wake upande wa Zanzibar kwa kuwekeza kwenye Human resource upande wa Zanzibar.

Hizi mbinu za Chadema, na counter attack ndizo zinazowafaanya mafisadi wasilale usiku.. Watumie pesa nyinyi sana kwa watu wasio na msimamo ndani ya Chadema wakidhani watafanikiwa kumbe wameliwa..
 
Shughuli inaanzia Mkoa wa Mara next week, tukitoka hapo tunapuliza dawa nchi nzima. Hujasikia mkuu hayaland?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni Habari Nzuri sana, Ukizingatia Chadema inakwenda kuchukua Dola 2015 kwahiyo ni vizuri kuwa na mtu wa kupata na kutoa taarifa za upande wa Zanzibar.

Kwakuwa sasa tunaelekea kwenye serikali tatu ni vema Chadema ikaongeza Ushawishi wake upande wa Zanzibar kwa kuwekeza kwenye Human resource upande wa Zanzibar.

Hizi mbinu za Chadema, na counter attack ndizo zinazowafaanya mafisadi wasilale usiku.. Watumie pesa nyinyi sana kwa watu wasio na msimamo ndani ya Chadema wakidhani watafanikiwa kumbe wameliwa..

Chadema inasikiliza maoni ya wananchi na ndicho ilichofanya hapa.

Asanteni sana kwa maoni yenu!
 
M4C mmelala uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi wa kumi sio mbali,wazee tuamke tuachane na Zitto kwani kwa sasa hana jipya.

CHADEMA kama CHAUSTA uchaguzi wa serikali za mitaa watapata viti viwili tu, chama kipo hoi wamebaki kula ruzuku na mabibi zao
 
Molemo, mbona unafilisika kisiasa mdogo angu? Utahangaika sana.
umesema ajira zimemwagwa, mbona ajira yenyewe ni moja tu? Any way kule hamna akina mangi jaribuni baadaye
 
Ya bara yamewashinda mnakimbilia visiwani. Wale jamaa hawadanganyiki boss
 
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.

Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.
John kwa uzushi bana.
 
chadema, tumaini la watanzania

kijana id yako ni nzuri sana inanikumbusha kapombe kazuri kapo huku kwetu kigoma dah! Ila sasa kana fanana na jina la mkuu wa kaya hii mwenye marafiki mizigo, japo nilitakaka kusema nchi hii nikasahau !
 
Please, Itakuwa vyema kama nafasi hiyo akapewa mzanzibar wa jinsia ya Kike. Why? Political image to win the Population.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom