CHADEMA yamvua nafasi ya uongozi Diwani Joseph Nzala Ryata, yeye atangaza kuhamia CCM

Habari motomoto kutoka Manisapaa ya Iringa zinatanabaisha kuwa Diwani wa Kata ya Kwakilosa kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA, Joseph Ryata ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo, ajivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM

Je, ile hama hama sasa imehamia nyumbani kwa Mchungaji Msigwa na Ole Sosopi?
 
Si amevuliwa uanachama baada ya kukamatwa live akinunuliwa? siasa za kipuuzi za Humphrey Polepole na utoto utoto wake
 
Ameenda kumuunga mkono Raisi baada ya kakobe kutaka kuukata.
 
Habari motomoto kutoka Manisapaa ya Iringa zinatanabaisha kuwa Diwani wa Kata ya Kwakilosa kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA, Joseph Ryata ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo, ajivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM

Je, ile hama hama sasa imehamia nyumbani kwa Mchungaji Msigwa na Ole Sosopi?

Habari motomoto kutoka Manisapaa ya Iringa zinatanabaisha kuwa Diwani wa Kata ya Kwakilosa kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA, Joseph Ryata ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo, ajivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM

Je, ile hama hama sasa imehamia nyumbani kwa Mchungaji Msigwa na Ole Sosopi?
Hizi habari hazihuziki tena
 
Back
Top Bottom