CHADEMA yamnasa Waziri Mulugo kwa rushwa

Mi nadhani Mulugo kwa sasa aachwe tu alivyo tusimfikishe mahali ambapo watoto wake wanaweza kumchukia na kumwona si baba bora. Madudu yake ni mengi kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kufanya madudu Tanzania!
 
kwani chadema ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa?

Kazi ya kuzuia na kupambana na rushwa ni ya kila mtu kuanzia raia mmoja mmoja taasisi mbalimbali na vyama vya siasa! Ikumbukwe kuwa moja ya ajenda za chadema ni kukomesha kabisa vitendo vya rushwa hivyo hapo walikuwa wanaweka kwewnye vitendo ajenda ya chama!
 
Sijawahi kuona waziri mjinga kama huyu Mulugo. Ni utetezi wa kitoto kabisa ameutoa.

*Haiwezekani mtu upite tu mahali halafu uone mkusanyiko wa watu (tena wameweka bendera na alama za chama chao), halafu kisha upande tu jukwaani na kuanza kutoa pesa na ahadi za mifuko ya Saruji!!!

*Kuvunja sheria pasipo kujua hakukuondolei adhabu ya kutiwa hatiani. Iwe umekusudia au haukukusudia kuvunja sheria, adhabu inabaki pale pale.
kutokujua jambo sio utetezi kisheria! hivi waziri asipojua ni nani mwingine anategewa kujua??
 
inakula kwao tu haya wakijaribu kukwepa hapo hawatoboi,chadema ina kila kitu wanasheria na watu kujitoa kufuatilia mambo muhimu.
 
kama ungekuwa na uwezo wa kupeleka watu polisi mbona lwakatare alikuwa anafanya ahalifu na hujamkamata,mimi huwa nawambia vijana wa bavija mnamatatizo tena makubwa.

Tehe!
Si kila anayevaa nguo nyekundu kwamba ni shabiki wa Simba ndugu yangu! Wajinga wengi wanatazama fikra za watu kivyama! Ni upuuzi kudhania kila anayepinga mambo ya CcM ni CHADEMA au ni BAVICHA!Pole sana
Uovu wa Lwakatare wanaujua Polisi na Mahakama itaamua....
Yule ambaye kafanya au katuhumiwa kufanya uovu,ni jukumu la walioshuhudia kumpeleka kunakohusika!
Ni ujinga kuuachia uovu uendelee kutendeka,kisa Polisi wako mbali na tukio
Hizo ni fikra mchacho!
 
ilo mme copy na kupaste kutoka kwenye gazeti la CMD mtanzania daima lilojaa uwongo kama mme mpeleka takukuru nyinyi ni mahakama?acheni siasa chafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom