CHADEMA yameguka vipande viwili

Huu ndo mwezi wenu wa mwisho kurusharusha miguu,baada ya 25/10 tunawamalizia,ukawa ni jiwe lisiloyumba
 

Kama vipi mchukueni Dr Slaa kwenye kampeni zenu chama cha mashetani wa lumumba.
 

Hii sio haki kabisa, ina maana CCM imesimamisha wagombea nafasi ya urais wawili? Yaani upande wa chama tawala na upinzani?
 
hata kama likigawanyika mara7, bado kura ni kwa LOwasa...na wabunge wa ukawa..

hizo nyingine ni propaganda za LUMUMBA... au masaki IT team!!

Wewe sio mzima kabisa yaani bado tu unaamini Lowasa anaingia Ikulu?
 
Mnaanzisha uzi na kuchangia wenyewe?
 
Hamchoki tu ! jamani mbona naona propaganda zenu zinazidi kuimarisha upinzani ! haya endeleeni yetu masikio na macho.
 
Yani huyu ubora na mafundisho pamoja na mleta uzi huu ni miongoni mwa wale mambumbumbu waliotajwa na twaweza kuwa ndo wanaishabikia ccm tunapo bishana nao hatujitendei haki tunyamaze maana hii ni misukule ya lumumba

kweli umenena ebu muulize vipaumbele vya fisiemu kama anajuwa washabiki lakini vichwa ni zero hawana hata point za utetezi. tuwaache hadi 25 oct watajitambua
 

Mnavyotumia mda,nguvu na pesa kukabiliana na cdm ....mngekuwa mnatunia japo nusu ya hizo nguvu kupambana na umasikini wananchi wangekuwa wanawaona wa maana kweli.......
 
yan ccm inashinda vizuri tu..tatizo la vijana tunaathiriwa sana na ushabiki bila kuangalia na kutasmin mambo kiundan..tusiwe bendera vijana tanzania n nchi inayo endelea n maendeleo yapo..vijana tunadanganywa eti tutapewa ajira bila kujiongeza mwenyew utaendelea kulia kila siku..kama tunataka kweli mabadiliko inabidi tubadilike ss tuache uvivu wa kufanya kaz..magufuli anasema ukwel..Tumchague..
 

Chadema wanatapatapa upepo umebadilika now watu wengi wanamuelewa sana magufuri kuliko lowassa
 
Willy kweli wewe nadhani unakura milioni 8 peke yako, lakini kama unayo kura moja tu!! Futa usemi wako. Kwa nguvu za Mungu asiependa watanzania wengi tuishi kama hayawani Lowasa atashinda, bali mapenzi ya Mungu yatimizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…