CHADEMA yameguka vipande viwili

Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.

We dada sijui mama hii single ilishachuja zamani watanzania wa leo sio wale wakudanganyia T shirt na kofia, angalia sana huo umbea wako.
 
Attachments

  • 11427333_1050485824961458_1371692934_n.jpg
    11427333_1050485824961458_1371692934_n.jpg
    37.4 KB · Views: 114
Ni kweli kabisa.Bila kusomba watu mikutano haifanyiki,na kwa namna hii nategemea siku ya kupiga KURA msisahau kwenda kuwababeba.

Maana safafri hii hakuna hata kura moja kwa UPINZANI.

Siku ya kupiga kura msiisahau na ile FIESTA ya bure pale kwenye vituo ili watu tu Endelea kupata burudani huku TUKIMPIGIA LOWASSA KURA.
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.

Pole sana kwa kuwaza vitu visivyokuwepo nadhan na wew ni chadema asili.
chadema asili= CCM (chama cha maloser)
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.
Bora makundi mawili ya Cdm kuliko mafungu ya nyanya ya ccm na rangi nyingi kuliko za kinyonga za CCM.
 
Siku ya kupiga kura msiisahau na ile FIESTA ya bure pale kwenye vituo ili watu tu Endelea kupata burudani huku TUKIMPIGIA LOWASSA KURA.

Mwamba77,nilikuwa namweleza kwa kejeli huyo jamaa anayudhi watu kwa matusi.Halafu Fiesta ikiisha inakuja MASHINDANO ya MATUSI.
 
Back
Top Bottom