CHADEMA yamebuma

CHADEMA yamebuma

Status
Not open for further replies.
Hata hivyo vyama vilivyoungana na CHADEMA na kufanya UKAWA. vimeingizwa Chaka, harakati zote za CHADEMA huwa hazifanikiwi. M4C, OPERESHENI SANGARA, etc Zote zimekuwa historia, sasa hili la UKAWA nalo halichukui Round, hatutalisikia tena. UKAWA ndio mwisho wa CHADEMA.

View attachment 167664

Una undugu na huyu
 
Vijana wa Lumumba mna mihemuko ya ajab,mnashindwa kujadili matatizo ya Watanzania badala yake mnajadili Chadema kila wakat. fanyen kaz achen ushamba.
 
Wewe binti wacha unafiki wako sisi tunajua Taa,na Tanu kuliko wewe ,nyamaza

Wewe bakia kuwa mtumishi wa chama,ila hustake kuongopea watu.Tumeitumikia Tanu sana.
 
Ni wazi ukichungulia nyuma ya UKAWA utaona dhahiri kifo cha chadema.Sasa hapa nani wa kulaumiwa?Viongoz au wanachama?
 
Ni wazi ukichungulia nyuma ya UKAWA utaona dhahiri kifo cha chadema.Sasa hapa nani wa kulaumiwa?Viongoz au wanachama?

Umepewa kichwa siyo kwa ajili ya kufugia chawa tu,..
 
Alaumiwe Baba yako mzazi kwa kuzaa Toto lenye akili za ki Cadaver
 
Wa kulaumiwa wa kwanza ni hawa wapaka poda wa jf wanaopost utumbo kisa umewapapasa kwenye ma.kalio.
Kisha Viongozi na wanachama misukule.
 
wakulaumiwa nimulugo namatoleo yake kama ww!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom