Acheni kupotosha watu,kinachotarajiwa kufa ni ccm na sio chadema,chadema ndicho chama cha ukombozi lakini ccm ni chama cha wanyonyaji wakubwa na walaaniwe na mwenyezi mungu kwani miaka yote 50 madarakani hakuna kitu kilichofanyika mbali na wizi mtupu,kweli ccm ni janga la kitaifa,2015 lazima kieleweke mafisadi wakubwa,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.