Chadema yaliza watumishi halmashauri ya jiji mwanza!!

hii safi.

wasiwasi wangu ni source ya taarifa yenyewe. inaonekana uliambiwa tu na jamaa yako mkiwa kwenye baraza la supu ya sato

Sawa kabisa na ndiyo tatizo la humu jamvini. Kuna watu wanaandika threads zenye vichwa serious lakini kumbe source ni vijiwe vya kunywa supu, kuosha magari, kubrashi viatu, n.k. Thread hii ni mfano mojawapo.
 
Always, I have said that the government compensation and benefit system is unfair, inefficient and it doesn't promote performance of the government organs and provision of reliable services to wananchi. Kinachotokea hapa ni kwamba hiyo system ina-be-exposed. Actually the system is due for overhaul.

A better system will be that one, of which even without working overtime, still the workers are happy and motivated and government business (day-2-day operations are done)... sio ati mpaka upate safari, seminar au ufanye kazi mpaka usiku wa manane ndio kazi za serikali ziende au ndio watu wapate kile wananchostahili.
 
Hii ni hatua nzuri ktk maendeleo ya halmashauri ila task kwa CDM inabidi wabuni mbinu za ufatiliaji wasije angusha na watendaji, Big up CDM. Jamani tubuni jinsi ya kukisupport chama be either financially or other legal means available
 
Back
Top Bottom