CHADEMA yalipuliwa

kuna haja ya kumshauri hayo maneno yake akayoongelee kule Tarime kama ana uhakika nayo
 
mtikila huwa anapewa pesa na rostam, au anadhani tumesahau
 
Mtikila ni kibaraka na kikaragosi wa Chama Cha Magamba-CCM.
Hapa tayari kesha anza kuwa pigia debe CCM ili kujaribu kukipaika CDM matope.

Mtikila ni mwanasiasa wa kuganga njaa tu. Hapa anatafuta pesa au Cheap popularity! Unajua zuzu akiona siku nyingi zimepita hajaandikwa magazetini basi ataanza mbwembwe na porojo zake ili asikike.

Wakti list of shame inatajwa yeye Mtikila na DP yake walikuwa wapi???

Hapa ni CCM wanamtumia hana hoja ni bora akanyamaza.
 
Mtikila ni mbabaishaji tu anatafuta mshiko Ndesa na Mbowe msimpe chochote huyo mganga njaa.Wala msiyajibu mambo ya maji taka.
 

tutafakari utajiri wa kupindukia wa hawa viongozi umetokea wapi? Tusiweke maslahi ya chama mbele pasipo kuweka ya nchi kwanza
 
kabla hujaanza kuwaambia watu wametumwa,wewe ujitazame na ujipime kwanza....huyu mtikila sio wa kutumwa ila ni mtumishi wa watu(usalama wa taifa) mwenye mlengwa wa kati kama chadema ilivyojaza usalama wa taifa kama john mnyika n.k,ila anafaanya kazi ya kuwawakilisha watu wote ili mradi tu haruhusu uharibifu wa amani kama akina ykhye.....jamani....hii jf sio ya cdm ni ya jamii,so shida nn,kwani kila kitu kibebwe na kisifiwe tu jamani na cdm...mbona bado sana.
 
Tusikilize abanwe tuone Kama kesi anaweza kufungua. Unajua siku hizi kila mwana siasa anaropoka tu nasi tunamsikiliza....
 
Kuhusu Mbowe ni ukweli mtupu!!jamaa yupo kisanii-sanii sana!me nashangaa chadema kuwa na mwenyekiti kama huyo!!mambo yote anayopigia kelele slaa yanamgusa mbowe moja kwa moja,mbowe ni fisadi hata mtu mwenye uelewa mdogo sana anafahamu hilo!!
 
Mwisho wa siku mtaelewa maana ya hoja na mtaweza kujibu hoja, kuliko kuanza kutukana watu, pia kona ya matusi naomba iongezwe jamani maana imekosekana, wajaaliwa matusi wanajaa hapa kurusha matusi badala ya kujibu hoja...na hawataki kukosolewa....na sidhani ile chadema ninayoona majukwaani yenye maneno ya hisia vileee,ndiyo yenye hawa vilaza wachache walio humu kuropoka tuuuuu.....mbona mnyika,zitto,slaa,mdee n.k wanaweza kujenga na kusimamia hoja.....kwani nyie mnakaa wapi? basi waambieni wawatumie hata vitabu vya hotuba zao muweze kusoma na kuelewa kujibu hoja sio kama tambwe hizza,mnaaibisha chama nyie wapumbavu.
 

Fika mahali na upime akili na uwezo wa kufikiria, hakuna binadamu asiefanya makosa. Haya anayosema Mtikira Chadema haipo, kumbuka kila chama kina wanachama na makosa, hapa Mtikila anaposema hawaaminiki "anajikweza - thats false political statement" I don't think kama Chadema wakimuunga mkono Mtikila ni kwamba tunakubaliana na kila kitu anachosema" kama ingekuwa hivyo angeshajiunga na CDM. Mtikila amefanya mazuri mengi kwa Taifa letu na poor strategic za kisiasa ni nyingi thats why he will never get 1% ya watanzania to vote for him. Chadema we are strong and continue to strive for the people. I am sorry to say "you are waiting for credibility somewhere and you can't fool nobady here" ccm mkae mkijua Chadema sio NCCR au mababu zetu enzi za uhuru, hakitakufa kwa njama zenu za kifisadi, we are better than that. Just want to share with you inawezekana hujanielewa bado, sorry for that.
 
tunashukuru kutufungua macho,ila tunasubiri uende mahakamani usije ukachukua mshiko
 


Kila kukicha huyu baba yuko mahakamani. Anaishije na anatunzaje familia yake kama hayuko kwenye payroll- ya mtu/watu fulani? Kuwa kibaraka ni sifa mbaya sana na ni fedheha si tu kwa Mtikila na familia yake bali kwa Taifa.
 
Kaza buti reverend mtikila wafikishe kwa plato hao mafisadi
 
mtikila ni askari wa kulipwa "mecenary" kwasasa yupo katika mradi wa kumsafisha lowassa,rostam na chenge. ni limbukeni ambaye anafaa kupuuzwa
 
Nilimpuuza tangu niliposikia kuwa alikula hela ya RA. Sijui kama mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kumwamini mtikila kwa sasa. Kama yupo, basi wanaweza kuwa wanafanana kiakili.
 
hacha kupandikiza udin wewe kama huna la kjsema ni bora kunyamaza na si kuropoka
 

umeona eeh..biashara haramu ni hatari sana.wanatakiwa wawekwe lokapu hawa mafisadi wa upinzani
 

umeona eeh..biashara haramu ni hatari sana.wanatakiwa wawekwe lokapu hawa mafisadi wa upinzani
 
Jamani; Kwa wanaokumbuka baada ya MTIKILA kupigwa mawe kule TARIME, aliconfess kwa yale aliyokuwa akiyatenda huko tarime. Confess yake ilirushwa na kituo cha televishenei cha ITV(KIPINDI MAALUMU KILICHORUSHWA SIKU YA ALHAMISI SAA NNE USIKU siku chache baada ya mtikira kupigwa mawe). Aliconfess kwa kuandika barua maarum iliyosomwa na ITV katika kipindi hicho. kwenye barua hii alizungumza mambo mengi sana, yakiwemo haya mawili;.
1. alisema aliahidiwa na CCM kwamba angepewa ulinzi wa kutosha wakati akitoa taarifa za uongo/uzushi kuhusu kifo cha WANGWE.Lakini alisikitishwa kuona hakaupewa ulinzi alioahidiwa kiasi kilichopelekea yeye kipigwa mawe.
2. alisema kuwa, aliahidiwa DONGE NONO na CCM kwa kuifanya kazi hiyo haramu.
na mwisho alishia kuomba msamaha kwa watanzania kwa ujumla kwa yale maovu aliyo yafanya kule TARIME(hapa alitumia ni vifungu vya dini kuomba msamaha).
Naomba mtu mwingine yeyote anaye kumbuka vizuri yale aliyo yaandika MTIKILA na yakasomwa na kituo cha ITV kwenye kile kipimdi maalumu atumwagie data hapa janvini.
 
hamna kitu hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…