Hovyo kabisa mkuuMtego wa panya umefunga kitobo. Anahangaika pakutokea Mkuu.
Kuna wanufaika wachache ambao wameikamata system vizuriKama tumefikia hapa, hii ni mbaya sana. Tutaanza kuona na wakili nao wakiwa attacked.
Yaani kinachotakiwa sasa ni Taifa zima kuwa na sauti moja, yaani watu mil 65 tuwe na mtazamo na fikra moja tu.
Si shetani alimpigisha stori Yesu aingie kwenye anga zake - aasi.Lakini alikaa na Yesu mlimani wakipiga story 😁🇹🇿
Jus' a trashy shit u talkin' bout!!Padri akifa si anaenda Mbinguni??