CHADEMA yalaani Shambulio Dhidi ya Dkt Kitima

CHADEMA yalaani Shambulio Dhidi ya Dkt Kitima

Kuwakamata watu hao ni dk 10 tu, Serikali kama mna nia ya dhati ya kuwadaka hao wahuni ombeni msaada wa mifumo ya setellite hata hii ya google.

Kwa sasa unaweza onyeshwa hadi kwa 3D - image full kuanzia mwanzo wa tukio hadi mwisho.

Kanisa katoriki nafikiri wana uwezo wa kuomba msaada huo na wakaja na
Picha full mziki.
 
Padri gan yule mwanasiasa
 
Ushauri wangu kwa Brenda, Kurugenzi ya Mawasiliano

Utuambie specifically Kitima amekuwa akifanya nini ambacho ndicho tatizo, ndicho motive ya watesi wake.

Mkisema tu Kitima, au Sativa kashambuliwa, au Soka kauliwa, hiyo hai i-implicate serikali. Ni mpaka utuonyesha specifically the connection between hasira za serikali na matendo ya Kitima na Sativa na Kipanya na Deus Soka ni niniiiii ????

Mimi nimemsikia Kitima Jumatatu wakati anaichana serikali kupitia DW radio kwenye Youtube clip. Wajomba zangu kijijini hawajawahi kumsikia Kitima. They do not have the slightest access to DW Press.
 
Back
Top Bottom