CHADEMA yalaani Shambulio Dhidi ya Dkt Kitima

CHADEMA yalaani Shambulio Dhidi ya Dkt Kitima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,623
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimelaani Shambulio la kupangwa dhidi ya Katibu wa TEC Father Charles Kitima lililokusudia kutoa Uhai wake.

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hili hapa

Screenshot_2025-05-01-11-35-56-1.png

Soma pia News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimelaani Shambulio la kupangwa dhidi ya Katibu wa TEC Father Charles Kitima lililokusudia kutoa Uhai wake.

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hili hapa

View attachment 3321681
Chadema wana vichwa aisee kama huyu dada anamwandiko mzuri hadi raha
 
Dikteta Iddi Amini pia alianza kupiga na kuua viongozi wa Dini lakini aling'oka.
Ukiona Utawala wowote ule ukishaanza kugombana na Viongozi wa Dini ambao ni wasafi na Waadilifu, tambua ya kwamba tayari Utawala huo upo safarini kuelekea kwenye kuanguka kwake. Mifano hai ipo mingi Sana kuhusiana na suala hili.
It's a major sign that the Regime is approaching to its end. It is The Beginning of the End!
 
Back
Top Bottom