Kova anasemaje au waliomteka Dr Wamezama humo
meli ya mwaka 1984 mpaka leo hii inafanya kazi unategea nini mbona kuku anakushinda akili akiona giza linaingia anajua ni usiku anajongea ndani. ndege za ATCL ni mbovu nani hilo halijui? mmekodisha ndege mbovu mnategemea nini? hamtaki kufanya service ndege eti hamna hela mnategemea nini? acha upumbavu wenu usiyo na maana. mpaka upepo unauvuma baharini eti umesababishwa na chadema, duuh hii kali sasa. acheni kufukuza upepo na kivikimbia vivuli vyenu.
Mods wangekuwa wanapeleka vitu kama hivi kwenye jukwaa la utani/jokes...
meli ya mwaka 1984 mpaka leo hii inafanya kazi unategea nini mbona kuku anakushinda akili akiona giza linaingia anajua ni usiku anajongea ndani. ndege za ATCL ni mbovu nani hilo halijui? mmekodisha ndege mbovu mnategemea nini? hamtaki kufanya service ndege eti hamna hela mnategemea nini? acha upumbavu wenu usiyo na maana. mpaka upepo unauvuma baharini eti umesababishwa na chadema, duuh hii kali sasa. acheni kufukuza upepo na kivikimbia vivuli vyenu.
Hata mie nimekata tiketi kibao na abiria wengi walikua wamevaa magwanda
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...
kuna upepo unaitwa kaskazi huu upepo unashabihiana na chadema kabisa.
CDM wamenza asubuhi ambapo wamesababisha ndege ya ATCL ivunjike dirisha la kioo cha upande wa kushoto wa rubani. Ndege hiyo ilitoka Dar kwenda Mwanza via KIA. Matokeo yake ikabidi iwe grounded palepale KIA leo hii asubuhi. Tunahisi chama hiki kina mahusiano ya moja kwa moja na Ali-Shababu.
Dhihaka wakati watu wamekufa? Hivi ingekuwa ndugu yako amekufa kwenye hiyo ajali ungekuwa na nguvu ya kuandika dhihaka kama hizi?
Pia CDM tokea asubuhi inaleta upepo mkali sana hichi ni Chama cha kikanda kabisa
Dhihaka wakati watu wamekufa? Hivi ingekuwa ndugu yako amekufa kwenye hiyo ajali ungekuwa na nguvu ya kuandika dhihaka kama hizi?
Mkuu inakuwaje unaleta utani kwenye roho za watu?kumbuka ndg zetu wamepoteza maisha!nivema na haki kuwaombea waliotangulia mbele ya haki bila kujali tofauti zetu za kisiasa na ki imani{R.I.P}
Kweli kabisa wamefunga mafeni makabwa sana kila mahali, yanaleta upepo hayo,mie mwenyewe mapazia yana pepea tu muda wote