Farajianeni nyie kwa nyie!
Maumivu ya kichwa huanza taratibuuu!! CDM, mnaongelea urais kitu ambacho kwenu ni ndoto!!! Labda jaribuni kuanzisha cheo cha rais wa CDM, instead of mwenyekiti! Urais wa JMT hamuuwezi!
Mkuu Rejao,
Chadema wanaota ndoto za mchana aisee! labda Rais kivuli.!!
. Eti Mkuu Rejao! Yaani kitu umeandika mwenyewe na unajipongeza mwenyewe baada ya kugundua uko peke yako!hahaaaaa Ritz si ndo Rejao!Mkuu Rejao,
Chadema wanaota ndoto za mchana aisee! labda Rais kivuli.