UMETAJA VYUO 12 tu. VIPI UDSM,MUCOBS,Habari Makamanda!!!!
Kuwekeza katika Vijana ni Muhimu pia katika Vyama kwani inasaidia Succession Plan kizazi Kimoja Kinaachia Kizazi Kingine kwani Akina Mbowe, Mdee Mrema na hata akina Lowassa na Sumaye wanaweza Wasiwepo. Mawapongeza Chadema kwa Kujiamarisha Kiuongozi ngazi ya Vyuo Vikuu.
Viongozi wa Chama katika baadhi ya Vyuo.
(i) University of Dodoma ni Eliakimu Masawe
(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni Glory Masawe
(iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni Elimwema Mushi
(iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni Thadeus Kimaro
(v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni Jackson Mlaki
(vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) Pendael Mroso
(vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) Deogratius Muro
(viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JORDAN
UNIVERSITY ni Neema Temu
.
(ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST
JOHN) ni Aggrey Assenga
(X)Chuo Kikuu Cha Ardhi ni Elikunda Mrema
(XI) Arusha Institute Of Accountancy ni Frank Tarimo
(XII) Moshi Cooperative University ni Abraham Towo
Naona hujamwelewa mleta uzi!! HahahahaHuyo ni Troll JF au wameiba I d yako mkuu?! Ukiona giza imekolea basi alfajiri ni karibu!!
Ulitaka tuone kuwa majina ya viongozi hao uliotunga ni ya Kichaga au?!
Habari Makamanda!!!!
Kuwekeza katika Vijana ni Muhimu pia katika Vyama kwani inasaidia Succession Plan kizazi Kimoja Kinaachia Kizazi Kingine kwani Akina Mbowe, Mdee Mrema na hata akina Lowassa na Sumaye wanaweza Wasiwepo. Mawapongeza Chadema kwa Kujiamarisha Kiuongozi ngazi ya Vyuo Vikuu.
Viongozi wa Chama katika baadhi ya Vyuo.
(i) University of Dodoma ni Eliakimu Masawe
(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni Glory Masawe
(iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni Elimwema Mushi
(iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni Thadeus Kimaro
(v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni Jackson Mlaki
(vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) Pendael Mroso
(vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) Deogratius Muro
(viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JORDAN
UNIVERSITY ni Neema Temu
.
(ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST
JOHN) ni Aggrey Assenga
(X)Chuo Kikuu Cha Ardhi ni Elikunda Mrema
(XI) Arusha Institute Of Accountancy ni Frank Tarimo
(XII) Moshi Cooperative University ni Abraham Towo
We hujaona kiwango cha juu cha unafiki kwenye hili bandiko la mnafiki Toroli?Huyo ni Troll JF au wameiba I d yako mkuu?! Ukiona giza imekolea basi alfajiri ni karibu!!
Ni hatua nzuri sana katika KUKITA MIZIZI YA CHAMA.Ni hatua ya kujivunia
Ina maana vyuoni wanachagua wachagga??!!CHADEMA kwa ukabila hatari sana, hao viongozi wa vyuo mbali mbali waliotajwa wote ni wachaga(kaskazini)
Naona wanywa rambirambi weshafilisika mbinu. Propaganda za kitoto sana.CHADEMA kwa ukabila hatari sana, hao viongozi wa vyuo mbali mbali waliotajwa wote ni wachaga(kaskazini)