CHADEMA yajizatiti ngazi ya Uongozi katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,303
2,000
Habari Makamanda!!!!

Kuwekeza katika Vijana ni Muhimu pia katika Vyama kwani inasaidia Succession Plan kizazi Kimoja Kinaachia Kizazi Kingine kwani Akina Mbowe, Mdee Mrema na hata akina Lowassa na Sumaye wanaweza Wasiwepo. Mawapongeza Chadema kwa Kujiamarisha Kiuongozi ngazi ya Vyuo Vikuu.

Viongozi wa Chama katika baadhi ya Vyuo.

(i) University of Dodoma ni Eliakimu Masawe

(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni Glory Masawe

(iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni Elimwema Mushi

(iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni Thadeus Kimaro

(v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni Jackson Mlaki

(vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) Pendael Mroso

(vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) Deogratius Muro

(viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JORDAN
UNIVERSITY ni Neema Temu
.
(ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST
JOHN) ni Aggrey Assenga

(X)Chuo Kikuu Cha Ardhi ni Elikunda Mrema

(XI) Arusha Institute Of Accountancy ni Frank Tarimo

(XII) Moshi Cooperative University ni Abraham Towo
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,681
2,000
Ni hatua nzuri sana katika KUKITA MIZIZI YA CHAMA.Ni hatua ya kujivunia
 
Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
500
u
Habari Makamanda!!!!

Kuwekeza katika Vijana ni Muhimu pia katika Vyama kwani inasaidia Succession Plan kizazi Kimoja Kinaachia Kizazi Kingine kwani Akina Mbowe, Mdee Mrema na hata akina Lowassa na Sumaye wanaweza Wasiwepo. Mawapongeza Chadema kwa Kujiamarisha Kiuongozi ngazi ya Vyuo Vikuu.

Viongozi wa Chama katika baadhi ya Vyuo.

(i) University of Dodoma ni Eliakimu Masawe

(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni Glory Masawe

(iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni Elimwema Mushi

(iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni Thadeus Kimaro

(v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni Jackson Mlaki

(vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) Pendael Mroso

(vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) Deogratius Muro

(viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JORDAN
UNIVERSITY ni Neema Temu
.
(ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST
JOHN) ni Aggrey Assenga

(X)Chuo Kikuu Cha Ardhi ni Elikunda Mrema

(XI) Arusha Institute Of Accountancy ni Frank Tarimo

(XII) Moshi Cooperative University ni Abraham Towo
UMETAJA VYUO 12 tu. VIPI UDSM,MUCOBS,
NK. HAO ULIOWATAJA NI VIONGOZI KATIKA NGAZI IPI? UNAWEZA KULETA MAJINA YA WALIOWAPIGIA KURA UNAWEZA KUYAWEKA HAPA? OTHERWISE YOU ARE PATHETIC ENOUGH
 
TUNDALI

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
407
250
Habari Makamanda!!!!

Kuwekeza katika Vijana ni Muhimu pia katika Vyama kwani inasaidia Succession Plan kizazi Kimoja Kinaachia Kizazi Kingine kwani Akina Mbowe, Mdee Mrema na hata akina Lowassa na Sumaye wanaweza Wasiwepo. Mawapongeza Chadema kwa Kujiamarisha Kiuongozi ngazi ya Vyuo Vikuu.

Viongozi wa Chama katika baadhi ya Vyuo.

(i) University of Dodoma ni Eliakimu Masawe

(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni Glory Masawe

(iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni Elimwema Mushi

(iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni Thadeus Kimaro

(v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni Jackson Mlaki

(vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) Pendael Mroso

(vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) Deogratius Muro

(viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JORDAN
UNIVERSITY ni Neema Temu
.
(ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST
JOHN) ni Aggrey Assenga

(X)Chuo Kikuu Cha Ardhi ni Elikunda Mrema

(XI) Arusha Institute Of Accountancy ni Frank Tarimo

(XII) Moshi Cooperative University ni Abraham Towo
Kwa mtindo huu ipo kazi kujiimarisha..!
 
NAFIKIRE

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
535
500
Haya umeeleweka kusudi lako na nia yako..Kumbuka kumuomba Mungu akuondolee huo mtazamo ulio nao ndani yako..Kumbuka Tanzania ni moja na kamwe hamuwezi kutugawa kwa misingi ya kuchafua chama fulani kwamba ni cha kikabila kama ulivyokuwa umekusudia,kutugawa kwa dini kama mlivyoshindwa kufanikiwa kwenye chama Fulani au kutugawa kwa kanda..tuepuke hizo siasa za chuki na majitaka...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom