CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

Nchi ni ya wote na JK anapaswa kufuata mtazamo walio wengi na kuwapotezea kikundi cha wachache CDM hakufanya makosa. CCM, CUF, TLP na UDP wapo nyuma ya JK
 
..hivi Raisi angeahirisha kusaini mswada angepungukiwa nini?

..mkutano wake na CDM umevutia wadau wengine kutaka kwenda kuonana na Raisi.

..ningekuwa karibu na Raisi ningemshauri atoe muda say mpaka januari ambapo atasiliza wadau wale makini wanaotaka kukutana naye ili watoe mapendekezo ya kuboresha mchakato wa katiba.

..baada ya hapo ingependeza Raisi awaite tena wazee wa DSM awaeleze kwa kuwa yeye ana nia njema amepokea mapendekezo haya na yale, pia awaeleze ni yapi anakubaliana na nayo na mswada unarudishwa bungeni kuzingatia mapendekezo aliyoyapokea.

..katika mazingira kama hayo kwa kweli kungekuwa hakuna hii vuta nikuvute.

..RAISI HAKUTUMIA BUSARA WALA WELEDI KTK KUSHUGHULIKIA TATIZO HILI.

NB:

..hivi kwanza aliyemtuama Raisi kutoa hotuba ile ni nani?

..binafsi nawapongeza CDM kwa uvumilivu na ukomavu wao in response to kejeli zilizoelekezwa kwao na Raisi kupitia hotuba yake kwa wazee wa dsm.
Mkuu hapo kwenye red Ni wazee wa CCM wa DSM au hukusikia CCM Oyee! siku ile

Na Hapo kwenye Blue Hilo nalo ni Neno zito kumuita Vasco Hatumii :spy:
 
Wewe Shy kwanza unajikanganya mwenyewe, nadhani huelewi unasema nini ktk andiko lako...
  1. Kwanza wewe siyo mfuasi wa CDM, bali unametumwa tu ku-maximize damage kwa CDM ili ulipwe chochote unacholipwa...
  2. Huo msimamo wa kutotambua mswada wa katiba ni lini wanachama na wa-Tanzania tulikaa na kukubaliana na CDM
  3. Hivyo kumbe ulitaka waombe idhini kwako kwanza ndio waende kuonana na rais kuhusiana na mswada huo? Mbona watashindwa kufanya kazi ya siasa?
  4. Na huko NCCR kumbe siku hizi kiongozi ni Kafulira na siyo mbatia?
Wewe Shy uwe na aibu kutaka kuvuruga watu wazima hapa. Wewe kazi yako kubwa hapa ni ku-maximize damage kwa chama cha CDM kwa manufaa ya CCM. Tena wewe siyo NCCR bali hiyo ni kama unataka kujificha ili tusikuone kuwa ni kibaraka fulani uliyetumwa...

CDM wapo katika mazingira magumu, lakini wakipewa support wanaweza kuleta mageuzi tunayolilia ktk nchi yetu.
Ni kweli wamejitakia mazingira magumu baada ya kuboronga toka lini kiongozi kibaraka kama Mbowe akaongea maana? Utasumbuka bure kuwatetea Viongozi CDM lakini kwa hili wamechemka na inavyoonekana unapenda Malaya kwani Viongozi wa Chadema sasa ni kama Mwanamke Malaya anaye haha kutafuta wanaume mwisho wanaishia kuhongwa Juice. Kwa siku ya leo CDM imepoteza umaarufu kwa watumiaji wote wa mitandao kutokana na ushamba na ulafi wa viongozi wao? Wanachama wa wa CDM imefika wakati tuwapige chini viongozi wakiongozwa na Mbowe na tuandae mchakato wetu wa kudai haki kwa kutumia nguvu ya umma kama wafanyavyo wananchi wa misiri. Wanaharakati wapo pamoja nasi
 
Hivi yule mtoto aliyezaliwa bila kichwa miaka ile halafu.......madaktari...... halafu.....nazi si ndo huyo au mmesahau?
 
Hellow wanajanvini, Nachelea kusema kuwa chama cha democrasia na maendeleo kilifanya maamuzi ya cc bila kushirikisha wafuasi wao ambao wanajiita umma wa watanzania, usaliti huo waliufanya baada ya kwenda kumuona rais bila kuwauliza ili wawashauri kitu ambacho kimesababisha mh mnyika na wenzake kuingizwa choo cha kike kwa kusaini mkataba mbovu ambao umewaletea utata hata vibaraka wao jukwaa la katiba wameanza kuwageuka. kwa mawazo yangu yakinifu cdm mnapoteza umaarufu kwa kukurupuka...
 
Duduwasha,

..Raisi ni wa waTanzania wote, na anapaswa kutanguliza maslahi ya nchi.

..sielewi kwanini Raisi ameshindwa kutumia platform aliyonayo kuuboresha mswada aliopelekewa.

..wakati mwingine Raisi lazima achukue maamuzi magumu kwa maslahi ya nchi yake na vizazi vijavyo hata kama kwa kufanya hivyo atawaudhi wahafidhina wa chama chake.

..look at what Amani Karume did na mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar. Kumbuka Frederick de Klerk aliyemtoa kifungoni Mandela na kupelekea kuuondosha ubaguzi wa rangi.

..KIKWETE ANAPASWA KUELEWA KWAMBA YEYE NDIYO RAISI, TENA A SECOND TERM PRESIDENT. HUU NI WAKATI WA KUTUACHIA WATANZANIA WOTE KUMBUKUMBU, URITHI WA MAANA.
 
Nchi ni ya wote na JK anapaswa kufuata mtazamo walio wengi na kuwapotezea kikundi cha wachache CDM hakufanya makosa. CCM, CUF, TLP na UDP wapo nyuma ya JK
Mkuu, umesema kweli kabisa. Hii ni nchi ya wote na kufuata mtazamo wa wengi ni muhimu. Lakini kama Mwl. Nyerere angekuwa na mawazo mgando (ya kukariri) kama ya kwako ya wengi wape hata kama hoja yao haina uzito au mantiki, leo hii tusingekuwa tunazungumzia demokrasia ya vyama vingi. Kwa maana, wa-TZ wengi waliikataa. Lakini Mwalimu akasema, pamoja na uchache wao wanaotaka vyama vingi wanayo hoja ya msingi, wacha Tanzania ifuate demokrasia ya vyama vingi. Kwa hiyo hoja ya msingi ndiyo yenye uzito kuliko uwingi wa watu.
 
Naona hili suala tunalichukulia kishabiki sana. Ni kana kwamba kuna mashindano kati ya CCM na CHADEMA juu ya katiba hii ambayo kimsingi inatuhusu sasa hata sisi ambao si wanachama wa chama chochote na kizazi kijacho maana ikishaandikwa haibadilishwi kila mwaka. Katiba mbovu itaashiri vizazi vijavyo na tulikifahamu hili nadhani tutaweka ushabiki pembeni na kutanguliza maslahi ya nchi na kizazi kijacho mbele.

Ok, kama CHADEMA wamechemka (mimi sidhani hivyo), je what is the way foward. Maana hata kama tutasema chadema wamechemuka haiondoi ukweli kuwa hii sheria ni ya hovyo na haitatusaidia kupata katiba nzuri kwa maslahi ya nchi na kizazi kijacho. Tafakari
 
Aaaaaaaaah hii thread sijaipenda kabisa kwani wachangiaji wengi wameshupalia kukejeli as if katiba mbaya ikipatikana itawaumiza cdm peke yake, aaah mmeboa lakini zingatieni tanzania ni yetu sote, mafisadi na mawakala zao hamna nafasi, lakini cha msingi chadema iandae vipeperushi pia vijarida vinavyotuelza wananchi tufanye nini. Aaagh log off
 
Duduwasha,

..Raisi ni wa waTanzania wote, na anapaswa kutanguliza maslahi ya nchi.

..sielewi kwanini Raisi ameshindwa kutumia platform aliyonayo kuuboresha mswada aliopelekewa.

..wakati mwingine Raisi lazima achukue maamuzi magumu kwa maslahi ya nchi yake na vizazi vijavyo hata kama kwa kufanya hivyo atawaudhi wahafidhina wa chama chake.

..look at what Amani Karume did na mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar. Kumbuka Frederick de Klerk aliyemtoa kifungoni Mandela na kupelekea kuuondosha ubaguzi wa rangi.

..KIKWETE ANAPASWA KUELEWA KWAMBA YEYE NDIYO RAISI, TENA A SECOND TERM PRESIDENT. HUU NI WAKATI WA KUTUACHIA WATANZANIA WOTE KUMBUKUMBU, URITHI WA MAANA.

Mkuu

Hivi yale madai ya chadema ni ya wananchi wote??

Je Rais akiwakubalia chadema atawakubalia wangapi?? (kila kikundi) ..

Hiyo recycling itaisha lini?? just can't get it..
 
MY TAKE:Dhamiri ya JK ukweli
alkuwa anaujua,
nilichomponza asisaini ni
kuweka maslahi ya chama
mbele,kulko ya watanzania na
Tanzania na huo ndio daima
msimamo wa ccm ingawa
hawajauweka wazi, swali
najiulza kwa hiki chama cha
CUF, TLP, UDP Falsafa yao nn hasa?
 
Umma ulitaka wote wakae pale mbezi garden? wale ndo wawakilishi wetu. wanachosema ndicho tunachosema. ndio maana ya wawakilishi. watu wengi wanachaguana kupata wachache wa kuwawakilisha na kuwasemea. so alichosema MNYIKA ndicho uma umesema. over
 
Hellow wanajanvini, Nachelea kusema kuwa chama cha democrasia na maendeleo kilifanya maamuzi ya cc bila kushirikisha wafuasi wao ambao wanajiita umma wa watanzania, usaliti huo waliufanya baada ya kwenda kumuona rais bila kuwauliza ili wawashauri kitu ambacho kimesababisha mh mnyika na wenzake kuingizwa choo cha kike kwa kusaini mkataba mbovu ambao umewaletea utata hata vibaraka wao jukwaa la katiba wameanza kuwageuka. kwa mawazo yangu yakinifu cdm mnapoteza umaarufu kwa kukurupuka...

Kama umma umesalitiwa mbona umma huo umekaa kimya? Kajipange vizuri ulete hoja za maana!
 
wana JF naomba niwakumbushe kwamba unapopigilia RIBITI eg KOTAPINI ili ikamate vzr je ukitaka kuiondoa utatumia SUPANA au Unatumia NYUNDO.hii ndio njia sahihi ambayo aitatumika ili tupate katiba mpya JK ni kigeugeu hana nia ya kutupatia katiba tuandamane mpaka kieleweke.

:spy:
 
Mkuu

Hivi yale madai ya chadema ni ya wananchi wote??

Je Rais akiwakubalia chadema atawakubalia wangapi?? (kila kikundi) ..

Hiyo recycling itaisha lini?? just can't get it..

Kabla hujaanza kurusha maswali, jiulize madai yao kuhusu katiba mpya ni ya msingi au la?? Nafikiri inabidi kumsapoti yeyote atakayetaka katiba yetu iwe ya kitaifa.

Kwa upande wangu CDM wanahoja za msingi sana kuhusu Muundo wa kupata katiba mpya. Swala hapa tujikite jinsi ya kupata katiba bora. Jk na chama chake hawataki tupate katiba bora. Wananchi wengi hawajui nini maana ya katiba na manufaa yake katika maisha ya kila siku. Elimu ya jamii kabla hata ya hayo maoni inahitajika sana.
 
Hellow wanajanvini, Nachelea kusema kuwa chama cha democrasia na maendeleo kilifanya maamuzi ya cc bila kushirikisha wafuasi wao ambao wanajiita umma wa watanzania, usaliti huo waliufanya baada ya kwenda kumuona rais bila kuwauliza ili wawashauri kitu ambacho kimesababisha mh mnyika na wenzake kuingizwa choo cha kike kwa kusaini mkataba mbovu ambao umewaletea utata hata vibaraka wao jukwaa la katiba wameanza kuwageuka. kwa mawazo yangu yakinifu cdm mnapoteza umaarufu kwa kukurupuka...

hivi wewe mtu, kwa mfano wewe ni panya (mfano tu). Yuko paka maeneo unayoishi na anakutishia maisha kila siku. Anakuja kicheche na anaijua hofu yako na anapanga kukusaidia. Anafanikiwa kiasi kumtisha paka na kwa kitambo fulani unaishi kwa amani. Nguchiro anagundua kuwa paka ni mbishi sana hataki kuondoka eneo ulipo, nawe pia huwezi ondoka. Nguchiro anakuambia ngoja nikaongee na paka ili muweze kuishi kwa amani hapa. Anafanya mazungumzo na paka na anakuletea taarifa kuwa paka anaelekea kuelewa. Siku tatu baadae paka anakuona na anakutoa tena baru. Bado unamlaumu nguchiro au paka anayekutamani?
 
Back
Top Bottom