CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

rufaa ya kupinga kuvuliwa nyasifa,na sio kupinga kuvuliwa uanachama

Hajui kuwa cheo ni dhamana tu,KWA KUTOFIKA KWAKE OFSINI TU KWA ZAIDI YA MIEZI 6 NA KUHAMISHIA OFISI FACEBOOK NA TWITTER ALITAKIWA KUWA AMEPUMZISHWA SIKU NYINGI. Na hizi tuhuma alizonayo na anavyozidi kurukaruka na kujichanganya ndo basi kabisa anatakiwa kufukuzwa kabisa uanachama! hatuwezi kukaa na mamluki na wanafiki kama yeye.namshauri aondoke akaungane na wasaliti wenzie PM7.
 

nadhani ingekuwa vyema Ukaisoma Katiba ya Chadema kuhusu maamuzi yanayofanywa na CC kuhusu nidhamu za Viongozi. na pia utaratibu wa Ukataji rufaa kwa maamuzi hayo.

Kwa kukusaidia tu ni hivi, ZITTO KABWE HAJAKATA RUFAA KUHUSIANA NA SUALA LA UANACHAMA, KWA MAANA SHAURI LENYEWE WALA HATA BADO HALIJAJADILIWA!- HILI SUALA LA UANACHAMA LITAJADILIWA NA KAMATI KUU! ILE ILE ILIYOMSULUBU. HIZO SIKU 14 ALIZOPEWA NI KUJIELEZA KUWA KWA KWA NINI ASIVULIWE UANACHAMA NA SIYO KWA NINI ASIVULIWE UONGOZI?, UONGOZI KESHAVULIWA MKUU

KILICHOKATIWA RUFAA NI MAAMUZI YA KUMVUA NYADHIFA, NA RUFAA IMEPELEKWA BARAZA KUU, AMBACHO NI CHOMBO CHA JUU CHA KAMATI KUU.
SASA NI HAKI YAKE KAMA MWANACHAMA KUSIKILIZWA!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…