CHADEMA yaitesa CCM Kyela

mbinu ya mwanjala niliifahamu tangu alipogombea uongozi wa soka , kyela inasubiri mbunge wa cdm , ni kiasi cha kujipanga na kumleta mtu anayekubalika .

Kwa Mama yangu ni Ikimba na diwani wa pale ni mjomba wangu Haleluya!Ni kata rahisi sana hiyo kuichukua maana mjomba hamna kitu alichokifanya pale!Kata ingine ya bure ni Ipinda;Kajunjumele na Matema!
 
Safi sana!!! Vipi Mwaya mmefika, hasa Ndughombo (Lughombo)?

Mkuu!
Lughombo ndiyo kwa baba!Karibu sana na kilabu cha pombe za kienyeji cha Ngomelako ukoo wa Mwambalaswa!Mwaya kuzuri sana
 
Kwa Mama yangu ni Ikimba na diwani wa pale ni mjomba wangu Haleluya!Ni kata rahisi sana hiyo kuichukua maana mjomba hamna kitu alichokifanya pale!Kata ingine ya bure ni Ipinda;Kajunjumele na Matema!

MASHAMBA YANGU YAPO KIJIJI CHA MBAKO , NAMFAHAMU SANA HALELUYA mkazi WA MPOMBO KILASILO , NI LAZIMA ANG'OLEWE MAANA HANA ALILOFANYA , NINA MTANDAO MZITO SANA LUBELE , KILASILO NA IBUNGU , HANA PA KUKIMBILIA .
 
ni wakati sasa wa vijana wa kyela kujitokeza kugombea nafasi za ubunge na udiwani kupitia cdm , maana cdm ina msingi imara sana pale , acheni uoga njooni tuwakomboe wazazi wetu .
 
ni wakati sasa wa vijana wa kyela kujitokeza kugombea nafasi za ubunge na udiwani kupitia cdm , maana cdm ina msingi imara sana pale , acheni uoga njooni tuwakomboe wazazi wetu .

Kwanza tuchukue ile Halmashauri kukimbiza hawa CCM mchwa wanaokula tu pesa zetu bila kufanya kazi!
Je CHADEMA ina vijana wa kutosha kwenye udiwani kw kila kata?Maana Kyela CCM ni kwa heri lkn Je CHADEMA vijana wasomi kuchukua kata zote wapo?
 
Yaani Kyela ni kwa vitendo tu hdi raha jamani
 
Kwanza tuchukue ile Halmashauri kukimbiza hawa CCM mchwa wanaokula tu pesa zetu bila kufanya kazi!
Je CHADEMA ina vijana wa kutosha kwenye udiwani kw kila kata?Maana Kyela CCM ni kwa heri lkn Je CHADEMA vijana wasomi kuchukua kata zote wapo?

tusaidiane kuhamasisha vijana wasomi wajitokeze .
 
kyela wanatisha mbaya mwenyewe nimeshangaa kuona matawi yapo mpaka sehem ambazo sikuzitegemea Asante kyela
 
Halafu ukijengwa msingi inakuwaje nyie malofa- CCm ikija ikaweka Tawi kwa sababu msingi tayari mtalaumu ? Maana hakuna wa kuendeleza hata msingi- maskini ukawa sori adm. Aaaaahaaaahaaaaaaaa:A S-eek::hail: CCM aja sepa ww:llama:

Inawezekana Kyela unaisikia tu. Usilinganishe na kwenu Kondoa ambako Elimu ni anasa.
 
kyela wanatisha mbaya mwenyewe nimeshangaa kuona matawi yapo mpaka sehem ambazo sikuzitegemea Asante kyela

hali ya ccm ni mbaya kuliko unavyodhani , madaraka pekee ndiyo yanayoiweka hewani .
 
Mkuu!
Lughombo ndiyo kwa baba!Karibu sana na kilabu cha pombe za kienyeji cha Ngomelako ukoo wa Mwambalaswa!Mwaya kuzuri sana

kuna kijiji kinaitwa NJISI karibu na ziwa nyasa , mbele ya kajunjumele nimeikuta CLUB YA POMBE INAITWA NGULA NGOGE , NILISHANGAA SANA KUKUTA BENDERA ZA CDM ZINAPEPEA HAPO !
 
Mara mwisho maccm kufanya mkutano kyela mjini ni lini vile?
 
Ngonga tumeiva tunasubiri 2015 tupeleke halmashauri diwani Wa cdm

kuna mkakati wa vijana wa kyela kuipeleka halmashauri mikononi mwa cdm 2015 ili kuboresha barabara za ndani .
 
Hahahahahahaaa wakwetu nimesoma mota .utachukua kata IPI au ndo kimyakimya kansa style Sawa mkuu pamoja sana kuangamiza migamba
 
Dr Mwakyembe hata kura za maoni ndani ya CCM hawezi kupita ingawa sasa wamekubaliana na mjomba wake Elias Mwanjala waachiane jimbo ili Mwanjala akagombee Mbeya mjini!
Mbeya mjini asahau kabisa APA Luna mbunge rais Wa kudumu suuuuguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…