Mkuu una maneno machafu sana.Nisije nikakujibu ukanisababishia BAN kama ulivyomsababishia MOLEMO
hivi umepata kujuwa mkoa wa arusha unawakazi kiasi gani?
Je na hawa nao walikuwa wamepewa barua za kufukuzwa chamani Mh. Nape!
Mkuu fmpiganaji ahsante kwa taarifa we acha watufunge magoli ya Segerea sisi tuendelee kuwabomoa kwenye mashina!!!! Bandu bandu humaliza gogo mwisho wa CCM unakaribia!!! Waongo, wezi, mafisadi na wala rushwa hawatakaribishwa kwenye serikali ya CHADEMA!!!!Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimevunjavunja ngome ya CCM wilaya ya Ngorongoro ambapo wanachama 800 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.
Tukio hilo kubwa lilitokea juzi baada ya Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse kufanya mkutano mkubwa wa hadhara wilayani hapo na kutoa somo kubwa la uraia kwa wananchi wa wilaya hiyo.
Akikabidhi kadi mpya kwa wanachama hao Mchungaji Natse aliwataka wakazi hao kuwa mabalozi wa CHADEMA katika maeneo ya vijijini wanakotoka na kuwaambia sasa hivi hakuna kulala mpaka CHADEMA itakapokamata dola mwaka 2015.
Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walimweleza Mchungaji Natse kuwa wamekuwa wakipata vitisho kutoka kwa viongozi wa serikali wilayani hapo wakilaaniwa kwa uamuzi wao wa kuipinga CCM.
Hata hivyo wanachama hao wameahidi kupambana mpaka tone la mwisho.
Source: Mwananchi Alhamisi Uk 16
Magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!
Mkuu huyu Nape amehamia FB huku ametoweka

Tatizo la CCM hawaoni kuwa wananchi wamebadilika siyo tena wa wakuongozwa kwa matamko toka Lumumba kama enzi za Makamba na Tambwe. Secretary wa Ideology and Publicity Nape badala ya kutafuta strategy ya ku-counterattack yeye anazidi kubishana na watu tu FB. Anyway ngoja tuone inawezekana chama kina mbinu zake za kisasa za kupambana na hii hali, lakini ninachotaka kumwambia ni kwamba kama anapita humu JF, he and his party should take this as a serious note.hii ni nonstop movement, yaani Nape katibu mwenezi wa Chama anapigwa AC tu pale Rumumba na tumbo kuubwa hana wasiwasi na hii movement ya mabadiliko.. Dah
Una hakika na hizo takwimu za watu milioni 4 hakuna wilaya yenye idadi ya watu milioni 4 acha upuuzi
Tatizo la CCM hawaoni kuwa wananchi wamebadilika siyo tena wa wakuongozwa kwa matamko toka Lumumba kama enzi za Makamba na Tambwe. Secretary wa Ideology and Publicity Nape badala ya kutafuta strategy ya ku-counterattack yeye anazidi kubishana na watu tu FB. Anyway ngoja tuone inawezekana chama kina mbinu zake za kisasa za kupambana na hii hali, lakini ninachotaka kumwambia ni kwamba kama anapita humu JF, he and his party should take this as a serious note.
Una hakika na hizo takwimu za watu milioni 4 hakuna wilaya yenye idadi ya watu milioni 4 acha upuuzi