CHADEMA yaisambaratisha CCM Chato

Rejao mkuu mawazo ya kimburukenge haya yaliyo jaa ubaguzi mbona yanakupumbaza sana .Leo unatamka Iringa unasahau Mara , Mwanza , Dar ,Singida, Shinyanga nk wewe umekalia ndoto au huamini kwamba watanzania wamesha amka

Mkuu umesahau Kigoma, mwanza, mara na simiyu pamoja na katavi.

Mpka pua itadondoka yenyewe. Suburi tu.

wewe tunakujua sana kuwa umewekwa na Nape humu ili kulinda ugali wenu.


ongeza na haya,
kanda ya ziwa
nyanda za juu kusini na
central zone
USIFICHE UKWELI KUHUSU COVERAGE YA CHADEMA ,KUWA MZALENDO ,KUWA MWANAMAPINDUZI.

Kikuumacho nini? Ndondo si chululu kwani wahenga walinena haba na haba hujaza kibaba.

Nadhani umeanza kuuamini uongo mliojitungia wenyewe kuhusu CHADEMA. Keep on dreaming, ya Arumeru ni cha mtoto (na kumbuka mlichosema huko).

Ushabiki wa kishenzi sana, kwa hiyo shinyanga, mwanza, Singida, Katavi, Rukwa, Dar huko kote ni ccm? ccm wamekupa nini rejeo? Au kwa sababu tu hamtungi mimba? tungeshajua nape anachowapa, bila shaka ni zaidi ya pesa? Mnatia kichefu chefu kweli.

​uuwi una ndoto za mchana mbona mapovu yanawatoka mkiwaona chadema si wanakurukupa?

haya mama Salma umesikika

So kumbe siku hizi sio wa Kaskazini? Au nimesikia vibaya?

Hata huko ulikotaja ilianza kidogo kidogo baadaye ikiwa kama ilivyo sasa, CDM walibip kwenye chaguzi za vijiji sasa wameanza kupiga CHATO


hivi hiyo avator ndiyo sura yako ilivyo?mbona mbaya hivi?kama shetani vile!:flypig:

Kila ukiandika uongo pua inazidi kuwa ndefu.

Hivi hamjishtukii kukipigania CDM, chama cha watu wachache chenye mrengo wa kigaidi, kidini, kikabila na kikanda?
Nawashangaa mpaka mnaweza kumention majimbo yenu yote hapa, imagine na mimi nianze kumention majimbo CCM iliyoshinda na inayotarajia kuyarudisha mikononi mwake, hapa JF patatosha?
Jifunzeni kutetea kinachoweza kutetewa...Losers!!!
 

Kweli mkuu hakukosea!
 
Aluta continua mpaka kieleweke! Maana bungeni wameacha hoja wanabaki kuzomea

Hata mimi nashangaa kwani sasa wanaonekana wana kipaji cha taarabu kuliko siasa kwanini wasimtumie komba akawainua vipaji vyao?
 
Ama kweli hii ni dhoruba!!!!mpaka Chato napenyewe nyinyiem wako hoi??? eeeeh! Eee Mungu niweke hai mpaka 2015 nione jinsi magamba yanavyokuwa chama pinzani!!!!

Teh nyinyiem, ujue mkuu kitendo cha hawa jamaa kutoka madarakani usidhani hilo chama lao litaendelea kuwepo lahasha kitakufa mwaka huo huo kama siyo mwaka utakaofuata, ujue tu walio wengi pale si kwamba wanaipenda ccm na mambo yake bali wanapenda uongozi na pindi kikiondoka madarakani watakimbia chama kitakachokuwa madarakani
 
hahaaaa ngumu kumeza Rejao hzo sehemu nilizo bold zilikua ni ngome zenu lakini mkazipoteza ndio hivyo mkuu hata hapo Chato mtapoteza

You told him the truth and that is what will happen
 
Last edited by a moderator:
Ukizoea kula nyama za watu,
Steki ya ng'ombe kwako haramu,
We dont hate you we feel sorry for you.
We see the glass half full,
you see it half empty,
It is okay but it is a negative approach.
The paradigm has changed,
yet you want to operate with old parameters.
Yes Yes yes,from your perspective we are loosers,
We understand your long and hopeless journey,
your burdens and troubles.

 
rejao mkuu mawazo ya kimburukenge haya yaliyo jaa ubaguzi mbona yanakupumbaza sana .leo unatamka iringa unasahau mara , mwanza , dar ,singida, shinyanga nk wewe umekalia ndoto au huamini kwamba watanzania wamesha amka
achana naye huyo utafikiri amelogwa.
 
chadema ni chama kinachokua,na kukua kwake kunatokana na udhaifu wa ccm.sasa kwa kuwa majimbo waliyonayo waliyapata mikononi mwa ccm hawana budi kujivunia mafanikio kidogo lakini ya haraka waliyoyapata.halafu zingatia huwezi kuutaja udini kama wewe si mdini.mtu dhaifu huwa hauoni udhaifu wake.huwezi kuulalamikia udini kama huna chembe za udini.na kama hamtaki dini ili tusilumbane tuwachague wapagani.ccm viongozi,wanachama,mashabiki mmechoka miili,akili,na roho pia udini hauna mashiko tena.
 
Pombe anaitetea CCM na kusahau jimbo lake. Ngoja tumuonyeshe kazi.
 

Ni dalili za kuumwa akili, kati ya CDM na CCM nani gaidi? Pale Misitu ya Mabwepande uwa mnafanya nini? Kuua watanzania kwa umaskini wa kutengeneza sio ugaidi? jifunze kuwa na hoja kama mtu mzima mwenye watoto saba.
 
Si kweli.
CDM sio chama kibaya lakini naomba sisi washabiki na wanachama wa chama hiki lazima tukae tukijua kwamba si kila aliyesoma anaweza kuwa kiongozi. Hawa akina Halima Mdee na Tundu Lissu ni wasomi lakini nidhamu na hekima ya uongozi hawana, wanabebwa na chama tu na wanatumia nguvu zote na uhuni wote kupata nafasi za juu katika serikali lakin sidhan kama wataweza kutuongoza sisi.
 
Yeeeees Lwakatare! ..piga chini huyo Mkariri kilometers
 
Ni dalili za kuumwa akili, kati ya CDM na CCM nani gaidi? Pale Misitu ya Mabwepande uwa mnafanya nini? Kuua watanzania kwa umaskini wa kutengeneza sio ugaidi? jifunze kuwa na hoja kama mtu mzima mwenye watoto saba.

Mkuu naona unajifariji baada yakufanya mauaji ya kinyama kule Singida jana, CDM ni chama cha wauaji
 
Rejao mkuu mawazo ya kimburukenge haya yaliyo jaa ubaguzi mbona yanakupumbaza sana .Leo unatamka Iringa unasahau Mara , Mwanza , Dar ,Singida, Shinyanga nk wewe umekalia ndoto au huamini kwamba watanzania wamesha amka
Afadhali mkuu umemjibu ningemjibu mimi kwa vyovyote ningechapwa ban labda ya maisha maana huyu kilaza ananikera sana na mawazo yake goigoi!!
 

Rejeo...wewe endelea kulala usingizi wa pono, nchi inakwenda hiyo kwa CDM, shuhudia kuanzia sasa hadi 2015, nadhani hapo "Long Street" ulipo labda ni jirani na kwa Nape
 

Hizi resources Ndogo, zitatumika kukomboa Igunga, Tabora Mjini, majimbo yote ya Mara, Kagera, Shinyanga, na kila sehemu, Nguvu ya UMMA ni kubwa kuliko chochote isipokuwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…