CHADEMA yaisambaratisha CCM Chato

Hiyo ni ishara tosha kuwa mwaka 2015 Chama Cha Mabwepande(CCM) hakina chao, na CDM ikiingia madarakani lazima viongozi wa CCM na serikali yake tuwatie mahakamani kwa mambo ya uuaji na utekaji wanaofanya sasa hivi.
 
haya mama Salma umesikika
 
So kumbe siku hizi sio wa Kaskazini? Au nimesikia vibaya?
 
Kazi bado ndio inaanza, M4C iendelee kila kona then 2015 tukombe nchi yetu.
 

Hata huko ulikotaja ilianza kidogo kidogo baadaye ikiwa kama ilivyo sasa, CDM walibip kwenye chaguzi za vijiji sasa wameanza kupiga CHATO
 
hahaaaa ngumu kumeza Rejao hzo sehemu nilizo bold zilikua ni ngome zenu lakini mkazipoteza ndio hivyo mkuu hata hapo Chato mtapoteza

tulizipoteza kwa kufanya makosa madogo tu ya kuwaweka watu wasio competent, sasa hivi kosa tulilofanya 2010 hatuwezi kulirudia tena.

Ukiangalia wabunge wengi walioshinda kupitia CDM 2010 ni wale waliokuwa rejects ndani ya CCM, Tunaadmit kutofanya analysis ya kutosha kwa wagombea wetu!! But this tym...CDM kaz ni nzito! Hata Arusha mjini na Moshi mjini tunayachukua!! CDM kitabaki kuwa chama cha Slaa na Mbowe na wachaga na siyo chama cha watanzania!!
 
Last edited by a moderator:

hapo nilipo bold kumbe panawauma? sasa mimi nakwambia Segerea,Iramba Magharibi,mtera,Kinondoni,Kibaha,Bumbuli ....... hapo lazima mnapoteza tuombe uzima ili 2015 nije nikukumbushe haya, halafu unasema kwamba na baadhi ya majimbo mliweka watu wasio Comptent mwaka 2010 hebu nitajie japo wbunge kumi tu ambao wapo comptent kwa sasa ndani ya CCM maana 2015 ngoma kwenu itakua ngumu maana hakuna zile propaganda mlizozoea amepita bila kupigwa
 
 
Twende kazi!. Kunajamaa humu jf alishasema cdm has northing to loose, bt something to gain. Yani ccm mtaisoma. Tutawamomonyoa mpaka atabaki Nape pekeyake, enzi hizo jk, k.Ova, pinda, wasira a.k.a hasira wote kwa pamoja wakiwa hawaoni. (vipofu)
 
Safi sana makamanda. Mungu azidi kuwapa nguvu.
 
hivi hiyo avator ndiyo sura yako ilivyo?mbona mbaya hivi?kama shetani vile!:flypig:
 
Mi nawakubali sana pro chadema jinsi mnavyo imani kali lakini mtalia. Next election
 
Kila ukiandika uongo pua inazidi kuwa ndefu.

 
wakati vuguvugu za mageuzi zilipopamba moto.....huku chuo kikuu cha dar es salaam kikiongoza kuwabeba na kusukuma magari ya wanamageuzi...nchi ikitaharuki na wengi kusema mwisho wa CCM umefika....mwanafalsafa mmoja ambaye sasa hatunaye duniani hakustuka na alisema...
"MNASHANGAZWA NA WATU KUBEBWA?? MBONA HATA MAITI HUBEBWA!!!"
 

Ha ha ha haaaa hapo kwenye redi pamenifurahisha sana,issue ya Dr.Ulimboka je hawajakurupuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…