CHADEMA yaisambaratisha CCM Chato


Lengo kuu la cdm siyo kuangalia kilichofanywa na mzee wa lubambagwe.bali ni kuing'oa ccm madarakani ambayo imeoza na viongozi wake wengi wameoza ambao wanawafanya hata wale waadilifu wachache wasifanye kazi inavyotakiwa.sasa km makufuli atakuwa bado yuko ndani ya ccm sidhani km atasalimika.
 

ongeza na haya,
kanda ya ziwa
nyanda za juu kusini na
central zone
USIFICHE UKWELI KUHUSU COVERAGE YA CHADEMA ,KUWA MZALENDO ,KUWA MWANAMAPINDUZI.
 
Hayo ndio ukisikia magamba, yanapukutika yenyewe. Huyo kajuwa hana ubavu kwa Magufuli nae ana uchu wa madaraka, afanye nini? shortcut ni kuvaa gwanda, kama Slaa. Sishangai baada ya siku mbili tatu nikasikia ni mgombea Urais kupitia magwanda.
Dhaifu zaid ya wenzako
 
hii ni taarifa nzuri sana kwangu na kwa wapenda maguzi wote....bye,bye mzee wa kupiga mbizi
 

Kikuumacho nini? Ndondo si chululu kwani wahenga walinena haba na haba hujaza kibaba.
 

Nadhani umeanza kuuamini uongo mliojitungia wenyewe kuhusu CHADEMA. Keep on dreaming, ya Arumeru ni cha mtoto (na kumbuka mlichosema huko).
 

Ushabiki wa kishenzi sana, kwa hiyo shinyanga, mwanza, Singida, Katavi, Rukwa, Dar huko kote ni ccm? ccm wamekupa nini rejeo? Au kwa sababu tu hamtungi mimba? tungeshajua nape anachowapa, bila shaka ni zaidi ya pesa? Mnatia kichefu chefu kweli.
 
pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
​uuwi una ndoto za mchana mbona mapovu yanawatoka mkiwaona chadema si wanakurukupa?
 
​mmeshikwa pabaya mbona kampeni hajizaanza mnaanza kutokwa na mapovu eewe mungu niweke hai 2015 nione chadema wakiongoza wanawe kutoka utumwani misri ccm pazuri hapo
hayo ndio ukisikia magamba, yanapukutika yenyewe. Huyo kajuwa hana ubavu kwa magufuli nae ana uchu wa madaraka, afanye nini? Shortcut ni kuvaa gwanda, kama slaa. Sishangai baada ya siku mbili tatu nikasikia ni mgombea urais kupitia magwanda.
 
Rejao wewe muombe mungu uendelee kuishi mpaka 2015, tutakapokamata serikali
 
Katika mkutano wa Chato hii nimeipenda,
Lwakatare alimuita Dk. Magufuli bingwa wa takwimu aliyeshindwa kuwaletea maendeleo wananchi wake, licha ya kuwa waziri kwa muda mrefu serikalini.
”Magufuli ni bingwa mkubwa wa takwimu. Anaweza kuwaambieni hadi samaki walio na mimba Ziwa Victoria. Lakini ameshindwa kutoa takwimu za wanafunzi wanaokwenda shuleni bila viatu wala ‘yebo yebo’.
 
Aluta continua mpaka kieleweke! Maana bungeni wameacha hoja wanabaki kuzomea
 
Ama kweli hii ni dhoruba!!!!mpaka Chato napenyewe nyinyiem wako hoi??? eeeeh! Eee Mungu niweke hai mpaka 2015 nione jinsi magamba yanavyokuwa chama pinzani!!!!
 
Ina maana huyo mhadhiri wa mzumbe naye alikuwa kati ya wale watatu wailiotakiwa kujivua magamba?
 

hahaaaa ngumu kumeza Rejao hzo sehemu nilizo bold zilikua ni ngome zenu lakini mkazipoteza ndio hivyo mkuu hata hapo Chato mtapoteza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…