CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

Asante Mungu ndugu zangu wanaendelea kujitambua Kwa kasi ya ajabu...
 
Hao wajinga wamekubali kadi zao zichomwe na wahuni, ilhali Mzee Slaa ya kwake ameihifadhi sandukuni.
 
Itachukua muda mrefu sana neno ACT kufika huko. Litabaki mitandaoni na magazeti Dada ya Uhuru.
 
Hao wajinga wamekubali kadi zao zichomwe na wahuni, ilhali Mzee Slaa ya kwake ameihifadhi sandukuni.

Teeeh teeeh teeeh Msalani umekasilika saaana,hiyo ndiyo cdm bwana utaipenda sasa,vipi mzee wetu lowasa leo kawapokea waungaji mkono wangapi?
 
Ha ha ha haaaaaaa! Ama kweli Hiki kinazidi kukubalika sasa. Hata wazee vikongwe kabisa wameona huku ndiko kwenye nuru, safi sana
 
Nagonga like mwaka huu lazma tumbo la kuhara liwapate magamba na Wasaliti wote wa ACT
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…