CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

Hongereni CDM. Nadhani hayo ni majibu tosha kwa wale waliokuwa wanaeneza propaganda kuwa ruzuku za chama zote zinaliwa Makao Makuu.

CCM kupitia mataniboi wao wamekuwa wanaeneza propaganda kuwa ruzuku zinaliwa makao makuu, CAG amekuja kukagua ameridhika na namna hesabu za chama zilivyokuwa sawasawa kwa maana ya matumizi, waliokuwa wanaleta propaganda (CCM) mpaka leo wamegoma kukaguliwa maana hesabu zinaingilia na fedha za ESCROW akaunti.
 
MSALANI,

Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla

Mkuu,
Tunashukuru sana kwa Ilimu yako.
Natumai kuwa Enock MSALANI atakuwa amekusoma na kuelewa kuwa yeye ni Mpuuzi tu kupewa taarifa kama hizo
 
Last edited by a moderator:
Ben unamjibu wa nini huyu...! Pigeni kimya kama jana mlivyoichunia thread ya mishahara... Huyu toilet hastahili kujua hata rangi ya pikipiki 1

Kuna ufisadi mkubwa sana kwenye mchakato wa manunuzi ya hizo pikipiki, ndio maana tunahoji.
 
 
I am speechless, Niseme nini sasa...
Thanks God for this talented,gifted,endowed,.. Leadership in CHADEMA.
 
Mkuu,
Tunashukuru sana kwa Ilimu yako.
Natumai kuwa Enock MSALANI atakuwa amekusoma na kuelewa kuwa yeye ni Mpuuzi tu kupewa taarifa kama hizo
Mkuu muda mwingine uwe serious kidogo. Haya ni masuala mazito na yanahitaji majibu mazito pia.
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…