Mkuu umetumia lugha laini sana kama muungwana, lakini kutokana na ujinga wake hata kuelewa.Kwahiyo wakienda kwenye futari ndio wataona matokeo? Mtu mzima kuleta story isiyochekesha nayo ni aibu ya aina fulani.
Wewe unajua nini?Akili yako haijui kitu kbs!
Una akili timaru wewe?Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
Kwani nani kasema Kuna Kibaya? Hiyo kete ya kuvutia watu Mkutanoni mumeianzisha Sasa baada ya hali mbaya maana mlikuwaga mnawacheka ccm nyie.Una akili timaru wewe?
Unajua maana hasa ya futur na kufuturisha?
Ulishawahi kufuturu?
Nikuulize nn kibaya hapo?
Makonda alishawah kufuturisha wakati ni mkristo ulikuwa wapi wakati huo? Tuseme makonda alikuwa anatafta nn
Halafu mnaleta uzushi kuwa Chadema imeandaa futari kumbe wao ndio wamealikwa! Mnaongea uongo hadi aibu kwa mijitu mizimaKwani nani kasema Kuna Kibaya? Hiyo kete ya kuvutia watu Mkutanoni mumeianzisha Sasa baada ya hali mbaya maana mlikuwaga mnawacheka ccm nyie.
Ahahahahaha! Sasa Ramadan ikiisha sijui itakuwaje! Ahahahahaha!Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
Suala ni Chadema kuchokwa hadi kufikia hatua ya kubembeleza watu kupitia imani za kidini,pamoja na vyakulaKwahiyo wakienda kwenye futari ndio wataona matokeo? Mtu mzima kuleta story isiyochekesha nayo ni aibu ya aina fulani.
Joined January 2023Mbowe hakati tamaa anapambania Sacco's yake, lissu kaona isiwe tabu karudi kupiga box ubelgiji.
Kimenuka !Kazi imeanza......stay tuned
Acha upumbavu, CDM ni main opposition party sio saccos na Mr. Lissu yupo nchini, uongo ni dhambi kubwa mnoMbowe hakati tamaa anapambania Sacco's yake, lissu kaona isiwe tabu karudi kupiga box ubelgiji.
Hahahaha hata kama lkn isiwe justification ya kutojenga ofisi, Choo cha stendi ni kisafi kuliko Choo cha makao makuu chadema!CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Mbona mbwatukaji siku hizi hasikiki. Mbeligiji naye kazamia huko.