Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
CHADEMA wako sahihi, JWTZ ni chombo cha wananchi na wala si chombo cha CCM hivyo kama vipi wale wakuu wa mikoa na wilaya na wengine wanaotumikia vyeo vya u-kada katika CCM wachukuliwe hatua haraka kabla hatujamtazama mwanajeshi wa Mh Lema Jijini Arusha hivi majuzi.
Ni wakati mwafaka jeshi letu pendwa likajikwamua na U-CCM wa enzi za chama kimoja katika kipindi hiki cha vyama vingi ili chombo hiki muhimu kiweze kuendana na wakati wa hivi sasa.
Roho ikipenda kitu wala hakuna haja kuewndelea kujificha; ukweli wa mambo ni kwamba zaidi ya asilimia 80 ya jeshi letu linapenda chama kile ambacho wananchi tulio wengi tunakipenda - CHADEMA!!!!!
Chonde chonde Mnyika siasa na Jeshi sio sahihi, CHADEMA kiangalie namna ya kuwa na mahusiano bora na jeshi, huyo mwanajeshi mmoja sio issue
CHADEMA wako sahihi, JWTZ ni chombo cha wananchi na wala si chombo cha CCM hivyo kama vipi wale wakuu wa mikoa na wilaya na wengine wanaotumikia vyeo vya u-kada katika CCM wachukuliwe hatua haraka kabla hatujamtazama mwanajeshi wa Mh Lema Jijini Arusha hivi majuzi.
Ni wakati mwafaka jeshi letu pendwa likajikwamua na U-CCM wa enzi za chama kimoja katika kipindi hiki cha vyama vingi ili chombo hiki muhimu kiweze kuendana na wakati wa hivi sasa.
Roho ikipenda kitu wala hakuna haja kuewndelea kujificha; ukweli wa mambo ni kwamba zaidi ya asilimia 80 ya jeshi letu linapenda chama kile ambacho wananchi tulio wengi tunakipenda - CHADEMA!!!!!
Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...
Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...
Elimu ya Mnyika haina mashaka. Form 4 alipata point 7 akiwa na A 9 (Nafasi ya kwanza Tanzania), Form VI pia alipata point Tatu, kisha amesoma Shahada ya sheria UDSM.Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
Elimu ya Mnyika haina mashaka. Form 4 alipata point 7 akiwa na A 9 (Nafasi ya kwanza Tanzania), Form VI pia alipata point Tatu, kisha amesoma Shahada ya sheria UDSM.
No doubt about his ability and his capacity to reason.
Una uhakika na ulichokiandika hapo? Point tatu form six? Hamuogopi hata kudanganya?
Mnyika ana uwezo na ayafanyayo hata kama elimu yake sio kubwa. Ila hakuna haja ya kudanganya kuweka elimu au matokeo ambayo hana.
Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
hayo ni matokeo yake halisi wala hakuna nyongeza ya uongo.
Mkuu zeMaracopolo
Ukiona mwenzio kapewa ukuu wa mkowa nawewe ndo umekalia kiti chake baada ya yeye kustaaafu na kuwa kada, je
hutashawishika kutetea maslahi ya chama ili nawewe ujepewa ukuu wa mkoa hapo baadaye? imekaaje hii!!