Mtuwamungu
Senior Member
- Jun 21, 2007
- 110
- 2
Hivi Wakuu wa Mikoa sasa hivi hawalipwi? Nionavyo mimi sera ya majimbo inaweza kupunguza gharama kuliko kuongeza. Kwanza, mikoa kadhaa inaweza kuunganishwa ili kuwa na majimbo. Pili, serikali kuu itakuwa na mawaziri wachache kuliko ilivyo sasa na kwa njia hiyo kupunguza gharama zisizo za lazima. Tatu, kila jimbo litakuwa na mipango yake ya maendeleo kulingana na mazingira yake hivyo kuwepo wa ushindani wa maendeleo kimajimbo.Hii sera ya majimbo ni empty suit, nimeshaongelea kila mara kwamba CHADEMA wanaitaji kuja na idea nyingine inayoendana na Uchumi wa Tanzania.
Until watakapo mfukuza Mbowe ndio tutaona mchakato mzima wa CHADEMA. I believe CHADEMA contains very smart individuals, but Mbowe hinder the potential within that party. Mnyika and other fellows can come up with something better than sera ya majimbo. Tatizo la sera ya majimbo ni spending, and Tanzania doesn't have enough resource to back that up. Nigeria wanafanya lakini sababu wana resources kubwa, likewise USA and Canada. Tanzania hatuna uwezo, tuta end kuwa na Big government and Big spending. I know mnaweza kusema kwamba labda kila majimbo yata utilize resource zake na kujiendesha lakini ukweli ni kwamba Tanzania economy depends on subsidy kupita kiasi.
CHADEMA wanatakiwa kukaa chini na smart THINK TANKERS wakapewa the good package ambayo haitakuwa based on political ideaology, but scientific facts. Until then Majimbo will not work in Tanzania, ni bora tuendeleee na hihi system iliyooza ya sasa ambayo JK anaamisha takataka Mwanza analeta Dar na za Dar anapeleka KIGOMA
Zaidi ya hapo, kwa mfano badala ya waziri wa kilimo kukaa makao makuu ya serikali (Dodoma), kila jimbo litakuwa na waziri wa kilimo kulingana na mazingira yake: Mwanza, Shinyanga, Tabora wanaweza kuwa wanashughulika na kilimo cha pamba; Mbeya, Iringa, Rukwa, Ruvuma kilimo cha mahindi, mpunga, kahawa, chai, n.k. Dar, Pwani, Morogoro, Tanga wanaweza kuwa wanashughulisha na kilimo cha matunda na mazao mengine yanayostawi vizuri maeneo hayo, pamoja na maswala ya viwanda, n.k.
Hii ni mifano michache tu ya jinsi serikali za majimbo zinavyoweza kufanya kazi na kupunguza gharama.