Kwa wale mnaoendelea
kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu,
basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi
kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa
mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama
ifuatavyo
CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2
Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka
kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya,
jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda
udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini
wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na
kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo
kutangazwa
Hiki chama ndiyo maana kinasuasua mno. Sasa aliyesema kuwa kwa ushindi huo ndiyo CCM imegaragazwa ni nani? Chama kinahitaji kujitazama upya ili kiweze endana na wakati badala ya ghasia, fujo, kelele na misuko suko isiyo mpangilio. Kuna wakati unafika unaweza sema Bungeni kuna wabunge watatu tu wa Chadema; Mbowe, Mnyika na Mdee. Wengine wote nadhani hawajui wanafanya nini na kipi wafanye ili wawakilishe.Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo
CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2
Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa
babati ikiamka na singida inaamka!
Viva chadema..kitaeleweka tu.
pumbaaaaaaaaaaaaaaHiki chama ndiyo maana kinasuasua mno. Sasa aliyesema kuwa kwa ushindi huo ndiyo CCM imegaragazwa ni nani? Chama kinahitaji kujitazama upya ili kiweze endana na wakati badala ya ghasia, fujo, kelele na misuko suko isiyo mpangilio. Kuna wakati unafika unaweza sema Bungeni kuna wabunge watatu tu wa Chadema; Mbowe, Mnyika na Mdee. Wengine wote nadhani hawajui wanafanya nini na kipi wafanye ili wawakilishe.
nilishasema siku nyigi kwamba hakuna uchaguzi amboa ccm wanaweza kushida chadema ikiwemo,kwa sasa ccm ina viongozi tu,haina wanachama,hata hizo kura walizopata lazima watakuwa wameibaKwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo
CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2
Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo
CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2
Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa
kwa mwendo huu 2015 majimbo ya babati mjini na vijijini wanaccm tuanze kuhesabu maumivu.
Kuna kila dalili ccm tutazidi kuendelea kulizwa kanda ya kaskazini na kanda ya ziwa kila siku.
maskini akipata ...........