CHADEMA yaibwaga CCM Magu

CHADEMA yaibwaga CCM Magu

Ndiyo Wakuu, Heshima kwenu!

Hatimaye ile kauli ya Mjinga akijitambua mwelevu yupo matatani ime endelea kujidhihirisha jana baada ya cdm kuigalagaza vibaya ccm katika uchaguzi wa serikali za vijiji na vitongoji wilayani Magu .

Kwa mujibu wa matokeo ni kuwa vijiji vilivyo kuwa vinagombaniwa jumla yake ni 5 ambapo CHADEMA imeshinda vijiji 3 vya Kahangara, Kabila na Ihayabuyaga.

CCM imeambulia kijiji 1 cha Langi na UDP nacho pia kime ambulia kijiji 1.

Katika upande wa vitongoji, jumla kulikuwa na vitongoji 37 ambapo vitongoji 17 CCM imepita bila kupingwa kwasababu ya jiografia na maandalizi. Hivyo kwenye vitongoji 20 vilivyo gombaniwa cdm imepata vitongoji 14 na ccm imeambulia vitongoji 6.

Vilevile ndani ya vitongoji 14 vilivyochukuliwa na CHADEMA kuna kitongoji cha Bugando kijiji cha Lemeji kata ya Sukuma anakotoka Mbunge Dkt Festus Limbu.

Pia kuna kitongoji cha Mtaa wa bank -NMB Magu mjini kilichopo kwenye makao makuu ya CCM Magu mjini kimebebwa na CHADEMA kwa kura nyingi.

Mwl Nyerere ktk Kitabu cha "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" -1973 alipata kusema

"WATU WANAWEZA WAKACHOKA NA KUSEMA POTELEA MBALI WAKACHAGUA CHAMA CHOCHOTE ILI MRADI TU WAONDOKANE NA KANSA YA UONGOZI WA CCM. HAINIFURAHISHI KUYASEMA HAYA ,LAKINI UHAI WA NCHI YETU UNATAKA YASEMWE ."
 
Wanajuwa sana nini kinachoendelea sasa hivi kwenye hii nchi,na wameshajuwa tayari mpaka 2015 watakuwa wana kazi nzito sana na aibu kubwa sana,vile vile wamesahau msemo unaosema kwamba ((Hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho)) na dalili ndio hizo za mwisho wao...2010 waliponea chupu chupu kukosa nchi je wanajiuliza 2015 itakuwaje??itakuwa aibu sana kwao...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ndiyo Wakuu . Heshima kwenu ! Hatimaye ile kauli ya Mjinga akijitambua mwelevu yupo matatani ime endelea kujidhihirisha jana baada ya cdm kuigalagaza vibaya ccm katika uchaguzi wa serikali za vijiji na vitongoji wilayani Magu . Kwa mujibu wa matokeo ni kuwa vijiji vilivyo kuwa vinagombaniwa jumla yake ni 5 ambapo Cdm imeshinda vijiji 3 vya Kahangara, Kabila na Ihayabuyaga. Ccm ime ambulia kijiji 1 cha Langi na UDP nacho pia kime ambulia kijiji 1. Katika upande wa vitongoji, jumla kulikuwa na vitongoji 37 ambapo vitongoji 17 ccm imepita bila kupingwa kwasababu ya jiografia na maandalizi. Hivyo kwenye vitongoji 20 vilivyo gombaniwa cdm imepata vitongoji 14 na ccm imeambulia vitongoji 6. Vilevile ndani ya vitongoji 14 vilivyo chukuliwa na cdm kuna kitongoji cha Bugando kijiji cha Lemeji kata ya Sukuma anakotoka Mbunge Dkt Festus Limbu. Pia kuna kitongoji cha Mtaa wa bank -NMB Magu mjini kilichopo kwenye makao makuu ya ccm Magu mjini kimebebwa na cdm kwa kura nyingi. Mwl Nyerere ktk Kitabu cha "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" -1973 alipata kusema " WATU WANAWEZA WAKACHOKA NA KUSEMA POTELEA MBALI WAKACHAGUA CHAMA CHOCHOTE ILI MRADI TU WAONDOKANE NA KANSA YA UONGOZI WA CCM. HAINIFURAHISHI KUYASEMA HAYA ,LAKINI UHAI WA NCHI YETU UNATAKA YASEMWE ."
Huu mtaa wa benki nadhani nyuma yake kuna kota za polisi. Ina maana polisi nao waipiga teke CCM?
 
MAGAMBA wanajivunia yule binti sijui jina lake nani vile ..... Shoza na yule kijana simkumbuki jina. Pale wanasema wameshinda uchaguzi tayari. Ukizingatia Nape ndiyo macho yake yote yako pale.
 
Hizi ni habari njema kwa wapenda mabadiliko na maendeleo wote. Wakati Nape yuko busy anajadili watu, CDM wako busy wanajadili masuala ya kitaifa. Hiyo ndio tofauti ya kichwa cha kufugia nywele, na kichwa kinachotumika kufikiri. Kila la heri CDM!

NB: Hapo kwenye red, nafikiri ni mwaka 1994 na sio 1973
 
Hongereni kwa ushindi wa kishido, Mungu awe nanyi, mtende haki katika kuwatumikia wananchi
 
Jamani, jana kupitia Star TV nimeona CCM nao wanasema wameshinda huu uchaguzi, mwenye data zaidi jamaniiiiiii
 
hureeeee mwalimu alisema ukiona wanaanza kugawanyika ujue ndiyo mwisho wao, sisiem wamegawanyika sana lazima chadema iwashinde tu, subirini serikali za mitaa. Ahsanten wana sisiem mnaotuunga mkono na mguu tutaendelea kuwatunzia siri. ila itafika siku muwe jasiri mjitoe waziwazi. maana waoga awaingii mbinguni wala mungu apendezwi na waoga.
 
Hapo ndipo watanzania wamepima mbivu na mbichi pamoja na hayo huu ni mwanzo tu ,wasubilie 2015
 
Ndiyo Wakuu, Heshima kwenu!

Hatimaye ile kauli ya Mjinga akijitambua mwelevu yupo matatani ime endelea kujidhihirisha jana baada ya cdm kuigalagaza vibaya ccm katika uchaguzi wa serikali za vijiji na vitongoji wilayani Magu .

Kwa mujibu wa matokeo ni kuwa vijiji vilivyo kuwa vinagombaniwa jumla yake ni 5 ambapo CHADEMA imeshinda vijiji 3 vya Kahangara, Kabila na Ihayabuyaga.

CCM imeambulia kijiji 1 cha Langi na UDP nacho pia kime ambulia kijiji 1.

Katika upande wa vitongoji, jumla kulikuwa na vitongoji 37 ambapo vitongoji 17 CCM imepita bila kupingwa kwasababu ya jiografia na maandalizi. Hivyo kwenye vitongoji 20 vilivyo gombaniwa cdm imepata vitongoji 14 na ccm imeambulia vitongoji 6.

Vilevile ndani ya vitongoji 14 vilivyochukuliwa na CHADEMA kuna kitongoji cha Bugando kijiji cha Lemeji kata ya Sukuma anakotoka Mbunge Dkt Festus Limbu.

Pia kuna kitongoji cha Mtaa wa bank -NMB Magu mjini kilichopo kwenye makao makuu ya CCM Magu mjini kimebebwa na CHADEMA kwa kura nyingi.

Mwl Nyerere ktk Kitabu cha "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" -1973 alipata kusema

"WATU WANAWEZA WAKACHOKA NA KUSEMA POTELEA MBALI WAKACHAGUA CHAMA CHOCHOTE ILI MRADI TU WAONDOKANE NA KANSA YA UONGOZI WA CCM. HAINIFURAHISHI KUYASEMA HAYA ,LAKINI UHAI WA NCHI YETU UNATAKA YASEMWE ."

Leo nitafanya pati kubwa hapa mtaani kwangu ili kumshikuru Mungu kwa ushindi huu mkubwa wa chadema.
Tafadhali makamanda tuendeleze mshikamano na kuxhapa kazi kwa bidii tuikomboe nchi yetu toka kwa wanyang'anyi ccm .
 
Ni kwa nini matokeo haya hayajaripotiwa katika magazeti ya leo?
Ni kwa sababu yanahusu ushindi wa Chadema. Osisahau azimio la mkutano mkuu wa CCM vyombo vingi vya habari vimeagizwa kusitisha habari za Chadema in return wanamshiko na "state protection"
 
MAGAMBA wanajivunia yule binti sijui jina lake nani vile ..... Shoza na yule kijana simkumbuki jina. Pale wanasema wameshinda uchaguzi tayari. Ukizingatia Nape ndiyo macho yake yote yako pale.

ndio ma genius wao..yani kina shonza ndo wanategemewa kuwapa ushindi 2015
 
Wale waupande mwingine hawaonekani hapa hizi habari zitakua za kweli. Ila haya matokeo yatazoeleka tu na wao watayazoea itafikia wakati itakua ndo mtindo magamba kupigwa wao si walizoea kwa kishindo sasa itakua kwa ngurumo
 
Back
Top Bottom