Entrepreneur
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 1,087
- 620
Hizi takwimu zina walakin kidogo. Kata ya Ipole - Sikonge imechukuliwa na CDM lakin hizo figure za jnuswe zinaonyesha kuwa CCM ilipata kura nyingi (CCM kura 577, CDM kura 373)! WHY??
nimefurahia sana takwimu hizi lakini hebu tuwekee za kata zote hata kama zitaniumiza mimi mwana chadema..[/QUOTE
Hama cdm tuliisha kuambia, njoo kambi ya ushindi ccm , kwa hesabu za haraka haraka mmepigwa 17 bila (i.e 22-5 )
Tukisema mnatukasirikia! Hivi hizi takwimu zimeisadia CHADEMA kupata kata zaidi ya tano walizopata!? Mantiki na maudhui ya kuziweka hizi takwimu ni nini hasa?
Nape kazi kwa habari ndo HIYO
KATA CCM CHADEMA Daraja mbili 1214 2047 Ipole Sikonge 577 373 Kilole Sikonge 690 329 Nanjara Reha 1134 2370 Tomato Lushoto 901 312 Bugarama 1145 772 Songea Mjini 955 297 Mtibwa 1372 3096 Kilema 707 727 Jumla ya Kura 8695 10323
TAKWIMU HIZI SIO SAHIHI: Mfano tu, kata ya daraja mbili, Chadema ilipata kura 2,193; CCM 1,324
CHADEMA NI VUVUZELA TU,,,,,MAMBO YA MSINGI KAMA CHAGUZI NDOGO HAWAZIPI KIPAUMBELE KAMA CCM ALAFU maskini mwenye njaa huwezi kuwapa sera..wakaelewa ccm wankuja na masufuria ya pilau,,mpaka umaskini upungue kabisa hapa ndipo chadema itashinda nionavyo mimi ....
wewe ndiyo wale ambao Heche alikuwa anawasema jana. Hivi wewe unafurahi 17 bure ukishindanisha chama chenye umri wa miaka 50 na kile cha miaka 20, halafu unalinganisha chama kilichoshika dola na kisicho na dola. Na hapo bado mmelabwa kata tatu na chadema? Sasa nyie mmeshinda au mmeshindwa? Kama mngekuwa bado mnapendwa sana, basi mngelinda kata zenu zote na kuongeza zingine. Lakini mmepoteza, na kuruhusu chadema kupata kura katika kila kata zilikopigw kura, jambo linaloashiria kwamba CHADEMA imeanza kukubalika na maeneo ya vijijini ambako awali ilikuwa haifahamiki.nimefurahia sana takwimu hizi lakini hebu tuwekee za kata zote hata kama zitaniumiza mimi mwana chadema..[/QUOTE
Hama cdm tuliisha kuambia, njoo kambi ya ushindi ccm , kwa hesabu za haraka haraka mmepigwa 17 bila (i.e 22-5 )
Kwako wewe kila mtu ni CCM ilimradi anahoji vitu ulivyoleta. Kwani kata zilikuwa Tisa tu!?mantiki ni kwamba kwa kata hizo wapiga kura walioipigia CHADEMA ni wengi sana kuliko mnavyoshangilia ushindi wa hivyo viti 23,
Kwako wewe kila mtu ni CCM ilimradi anahoji vitu ulivyoleta. Kwani kata zilikuwa Tisa tu!?
my take.Tatizo JF ina watu mchanganyiko sana, wamo na watoto wadogo wasiokuwa na uwezo wa kuchambua mambo. Sasa wewe unafurahia nini matokeo ya kata tisa kati ya 29? Na kati ya hizo tisa, CHADEMA wameshinda nne, hivi ulitegemea tofauti ya kura iweje? Haya si matokeo ya kuwafanya watu wazima wenye akili timamu kuanza kuyashangilia. Kikubwa tuangalia tulipoanguaka tukarekebishe na si kuanza kujifariji na takwimu zisizo na maana hizi. Mnataka kumhadaa nani?
utajijua huko huko, ndo maana ya sample hapo sikuchukua walizoshinda chadema tu nimechukua ambazo CCM wameshinda na ambazo Chadema wameshinda na gap ya kura ndo hilo, kama unao ushahidi kwa takwimu kuwa CCM haijabwagwa ulete hapa, na sio kuendeleza ubishi hapa
No. | KATA | CCM | CDM |
1 | Magomeni (Pwani) | 1478 | 479 |
2 | Bangata | 1117 | 881 |
3 | Daraja mbili | 1324 | 2193 |
4 | Mahenge | 710 | 444 |
5 | Mtibwa | 1372 | 3096 |
6 | Mtele | 995 | 297 |
7 | Mpapai | 1443 | 280 |
8 | Luwumbu | 565 | 25 |
9 | Malangali | 1247 | 1418 |
10 | Lwezera | 1317 | 925 |
11 | Makata | 808 | 38 |
12 | Mlelomiembeni | 818 | 138 |
13 | Minyenze | 378 | 167 |
14 | Karitu | 854 | 354 |
15 | Kiloleni | 648 | 166 |
16 | Ipole | 365 | 568 |
17 | Bugarama | ||
18 | Mwananza | 794 | 575 |
19 | Lubili | 1108 | 620 |
20 | Kitagiri | 1416 | 157 |
21 | Kikokona | 1149 | 367 |
22 | Nanjaraneha | 1128 | 2370 |
23 | Kilema Kusini | 784 | 734 |
24 | Vugiri | 1460 | 337 |
25 | Tamota | 1060 | 772 |
26 | Msalato | 869 | 450 |
27 | Mpwapwa | 1722 | 1189 |
28 | Myovizi | 1726 | 1498 |
29 | Mpapa | 903 | 310 |
JUMLA | 29,558 | 20,848 |
Nape kazi kwa habari ndo HIYO
KATA
CCM
CHADEMA
Daraja mbili
1214
2047
Ipole Sikonge
577
373
Kilole Sikonge
690
329
Nanjara Reha
1134
2370
Tomato Lushoto
901
312
Bugarama
1145
772
Songea Mjini
955
297
Mtibwa
1372
3096
Kilema
707
727
Jumla ya Kura
8695
10323