CHADEMA yagawanyika mapokezi ya Lissu kwa sababu ya mbio za urais 2020 CHADEMA, ubadhilifu na ukanda

View attachment 1172795
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya Maandalizi ya Kumpokea aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu anayetarajiwa kuwasili nchini tarehe 07/09/2019 akitokea Ubelgiji alikokuwa akipata Matibabu.
Hata hivyo Chama hicho kimegawanyika namna ya kumpokea Mbunge huyo huku sababu za kugawanyika zikithibitika kuwa ni Makundi ya Urais 2020 ndani ya Chama hicho, Matumizi mabaya ya Madaraka na sababu nyingine ni ile ya siku zote ambayo imekuwa ikikitafuna Chama hicho ya Ukabila na Ukanda.

Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Freeman Mbowe (Mzee wa kubadili gia angani) anataka Lissu atoke moja kwa moja Ubelgiji na kushuka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa na kuelekea Nyumbani kwake moja kwa moja na siyo mapokezi ya Maandamano ili kuepuka kupata kuungwa mkono na wanachama wengi wa Chama hicho kupitia Maandamano hayo.

Mbowe anaamini Mgombea urais kupitia Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 atatoka tena CCM. Mbowe anaungwa mkono na Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluwaye Sumaye na Wabunge wote wa Chama hicho ambao ni Wazaliwa wa Kanda ya Kaskazini akiwemo John Mnyika, Godbless Lema na Halima Mdee. Wengine wenye ushawishi ndani ya Chama walioko nyuma ya kundi hili ni Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Patrick Ole Sosopi

Katibu Mkuu wa Chama hicho, Vincent Mashinji haridhiki na namna Mbowe anavyotumia Fedha za Chama hicho na hivyo kuendesha Kampeni za kutaka aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini , Lazaro Nyalandu kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Tundu Antipas Lissu kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Mwaka 2020. Kundi hili la Mashinji na Nyalandu linataka Lissu apate Mapokezi Makubwa yatakayotamalaki nchi nzima ili Mwanasheria huyo wa Chadema apate umaarufu zaidi kuelekea 2020.

Wengine walio nyuma ya kundi hili ni Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga, Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche, Katibu Mwenezi CHADEMA Taifa Hemedi Ali(Kijana wa Kizanzibar) Taarifa zilizothibika zinasema Mashinji na Wenzake wanataka Lissu asije Dar es Salaam moja kwa moja na badala yake afikie kilimanjaro na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho wa Mikoa ya Manyara , Arusha na Kilimanjaro na baadaye kuanza safari ya kwenda Dar es Salaam kwa Msafara utakaopitia Mikoa ya Tanga, na Pwani.

Inasemekana LISSU ataondoka Ubelgiji kati ya tarehe 04/09/2019 na tarehe 05/09/2019 na atatumia shirika la ndege la Uswisi au KLM.

Wito wangu kwa CHADEMA: Ni wakati wa kuwa kitu kimoja wakati huu tunapojianda kumpokea ndugu yetu na siyo kutumia ujio wake kukigawa chama.
Mbwa wewe, peleka ujinga wako huko kwenu Chato!
 
Ngonjera za mataahira ya Lumumba. Chadema ni moja na mgombea wetu ni Lissu. Pambaneni kwanza na Membe maana anawapulia kisogoni muda wowote ana overtake.
 
Nikimkubuka Dr. SLaa huwa naumia sana, CHADEMA hii ya akina Sumaye na Nyalandu inatuhuzunisha sana
 
HEBU TUELEZE PIA ALIKO SLOW SLOW, MAANA JANA TAIFA STARS IMESHINDA HUKO NYAYO LAKINI HATUJAMSIKIA AKITUPA DATA ZA MIRADI MINNE ILIYOTEKELEZWA NA TAIFA STARS
 
View attachment 1172795
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya Maandalizi ya Kumpokea aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu anayetarajiwa kuwasili nchini tarehe 07/09/2019 akitokea Ubelgiji alikokuwa akipata Matibabu.
Hata hivyo Chama hicho kimegawanyika namna ya kumpokea Mbunge huyo huku sababu za kugawanyika zikithibitika kuwa ni Makundi ya Urais 2020 ndani ya Chama hicho, Matumizi mabaya ya Madaraka na sababu nyingine ni ile ya siku zote ambayo imekuwa ikikitafuna Chama hicho ya Ukabila na Ukanda.

Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Freeman Mbowe (Mzee wa kubadili gia angani) anataka Lissu atoke moja kwa moja Ubelgiji na kushuka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa na kuelekea Nyumbani kwake moja kwa moja na siyo mapokezi ya Maandamano ili kuepuka kupata kuungwa mkono na wanachama wengi wa Chama hicho kupitia Maandamano hayo.

Mbowe anaamini Mgombea urais kupitia Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 atatoka tena CCM. Mbowe anaungwa mkono na Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluwaye Sumaye na Wabunge wote wa Chama hicho ambao ni Wazaliwa wa Kanda ya Kaskazini akiwemo John Mnyika, Godbless Lema na Halima Mdee. Wengine wenye ushawishi ndani ya Chama walioko nyuma ya kundi hili ni Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Patrick Ole Sosopi

Katibu Mkuu wa Chama hicho, Vincent Mashinji haridhiki na namna Mbowe anavyotumia Fedha za Chama hicho na hivyo kuendesha Kampeni za kutaka aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini , Lazaro Nyalandu kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Tundu Antipas Lissu kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Mwaka 2020. Kundi hili la Mashinji na Nyalandu linataka Lissu apate Mapokezi Makubwa yatakayotamalaki nchi nzima ili Mwanasheria huyo wa Chadema apate umaarufu zaidi kuelekea 2020.

Wengine walio nyuma ya kundi hili ni Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga, Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche, Katibu Mwenezi CHADEMA Taifa Hemedi Ali(Kijana wa Kizanzibar) Taarifa zilizothibika zinasema Mashinji na Wenzake wanataka Lissu asije Dar es Salaam moja kwa moja na badala yake afikie kilimanjaro na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho wa Mikoa ya Manyara , Arusha na Kilimanjaro na baadaye kuanza safari ya kwenda Dar es Salaam kwa Msafara utakaopitia Mikoa ya Tanga, na Pwani.

Inasemekana LISSU ataondoka Ubelgiji kati ya tarehe 04/09/2019 na tarehe 05/09/2019 na atatumia shirika la ndege la Uswisi au KLM.

Wito wangu kwa CHADEMA: Ni wakati wa kuwa kitu kimoja wakati huu tunapojianda kumpokea ndugu yetu na siyo kutumia ujio wake kukigawa chama.
Rubbish
 
Mnyika ni mzaliwa wa MWANZA
Mdee ni mzaliwa wa DRA ES SALAAM
 
Katibu Mkuu wa Chama hicho, Vincent Mashinji haridhiki na namna Mbowe anavyotumia Fedha za Chama hicho na hivyo kuendesha Kampeni za kutaka aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini , Lazaro Nyalandu kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Tundu Antipas Lissu kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Mwaka 2020. Kundi hili la Mashinji na Nyalandu linataka Lissu apate Mapokezi Makubwa yatakayotamalaki nchi nzima ili Mwanasheria huyo wa Chadema apate umaarufu zaidi kuelekea 202

Chukueni ushauri wa Mbowe kwakuwa huenda mapokezi yakazuiliwa kama alivyoambiwa yule mgombea wa uraisi kupitia chama hicho wakati anatumia usafiri wa daladala
 
Polisi wenu, Jeshi lenu, Tume ya uchaguzi yenu, Hazina yenu, Msajili wa vyama vya siasa wenu, bado tu mnaweweseka hamjiamini..
 
makundi kwenye vyama Ni kawaida, ila ccm ndo kubaya zaidi, yaani kina nape na kinana pamoja na kumuita mwenyekiti wao mshamba lakini wameachwa tu hata onyo hawajapewa duh.
 
View attachment 1172795
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya Maandalizi ya Kumpokea aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu anayetarajiwa kuwasili nchini tarehe 07/09/2019 akitokea Ubelgiji alikokuwa akipata Matibabu.
Hata hivyo Chama hicho kimegawanyika namna ya kumpokea Mbunge huyo huku sababu za kugawanyika zikithibitika kuwa ni Makundi ya Urais 2020 ndani ya Chama hicho, Matumizi mabaya ya Madaraka na sababu nyingine ni ile ya siku zote ambayo imekuwa ikikitafuna Chama hicho ya Ukabila na Ukanda.

Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Freeman Mbowe (Mzee wa kubadili gia angani) anataka Lissu atoke moja kwa moja Ubelgiji na kushuka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa na kuelekea Nyumbani kwake moja kwa moja na siyo mapokezi ya Maandamano ili kuepuka kupata kuungwa mkono na wanachama wengi wa Chama hicho kupitia Maandamano hayo.

Mbowe anaamini Mgombea urais kupitia Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 atatoka tena CCM. Mbowe anaungwa mkono na Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluwaye Sumaye na Wabunge wote wa Chama hicho ambao ni Wazaliwa wa Kanda ya Kaskazini akiwemo John Mnyika, Godbless Lema na Halima Mdee. Wengine wenye ushawishi ndani ya Chama walioko nyuma ya kundi hili ni Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Patrick Ole Sosopi

Katibu Mkuu wa Chama hicho, Vincent Mashinji haridhiki na namna Mbowe anavyotumia Fedha za Chama hicho na hivyo kuendesha Kampeni za kutaka aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini , Lazaro Nyalandu kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Tundu Antipas Lissu kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Mwaka 2020. Kundi hili la Mashinji na Nyalandu linataka Lissu apate Mapokezi Makubwa yatakayotamalaki nchi nzima ili Mwanasheria huyo wa Chadema apate umaarufu zaidi kuelekea 2020.

Wengine walio nyuma ya kundi hili ni Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga, Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche, Katibu Mwenezi CHADEMA Taifa Hemedi Ali(Kijana wa Kizanzibar) Taarifa zilizothibika zinasema Mashinji na Wenzake wanataka Lissu asije Dar es Salaam moja kwa moja na badala yake afikie kilimanjaro na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho wa Mikoa ya Manyara , Arusha na Kilimanjaro na baadaye kuanza safari ya kwenda Dar es Salaam kwa Msafara utakaopitia Mikoa ya Tanga, na Pwani.

Inasemekana LISSU ataondoka Ubelgiji kati ya tarehe 04/09/2019 na tarehe 05/09/2019 na atatumia shirika la ndege la Uswisi au KLM.

Wito wangu kwa CHADEMA: Ni wakati wa kuwa kitu kimoja wakati huu tunapojianda kumpokea ndugu yetu na siyo kutumia ujio wake kukigawa chama.
Hivi inkuwaje jamaa anapigwa kushoto anaumia kulia
 
hogwash, nonsense
 
Wazee wa intelijensia wa serikali ya makanikia vipi hawatairuvuga sherehe ya mapokezi maana decandamogasiwanaigopa kweli ?
 
Kinana alidukuliwa akisema..#JamaaAmechanganyikiwa

Endeleeni kujitutumua tu.
 
Back
Top Bottom