Chadema imefutika Kigoma siku nyingi sana
kumbe zitto amejitoa kwenye saccos ya chadema?
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Unaonaeeeh? Watu wengine wanadai ati chadema ni chama cha wachaga na cha watu wa kaskazini. Ati wamemtimua zitto kwa sababu sio mwenzao na tena dini tofauti. SAsa yeye mbona anafanya yaleyale kwa chama cha waha, Tanzania magharibi na cha dini yake??? Jana nimepata whatsaap message inayoelezea jinsi zitto alivyokubuhu usaliti na kula hela ya ccm mpaka anastahili kuitwa bilionnair. Sikuamini macho yangu na hata Zitto akiiona hiyo sijui ataficha wapi uso wake kama ana soni. Kimeanikwa kila kitu. Aliye na ujumbe huo atusaidie kuuleta hapa jamvini.Ukiondoa Kigoma mjini na baadhi ya maeneo machache sana ya mkoa wa Kigoma,ACT inafahamika zaidi kwenye mitandao ya kijamii.Yaani mikoa mingine hata hawajui ACT ni mdudu gani Tanzania.
ACT ni mpango wa ALLAH!!!
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Umeshafika kigoma hivi karibuni? Kwa sasa kg kuna maendeleo hongera Rais kikwete kwa kutukumbuka
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Hakuna wa kumuweza Yeledi Fubusa,na Zitto aliliona ilo ndio maana akahamua kuhamia Kigoma mjini,kwanza Yaledi ni Msomi wa PHD ya USA,pia kahamua kurudi na mtaji wake kafungua chuo jimboni kwake,anashirikiana bega kwa bega na wananchi na wanamkubali vilivyo.hizo story zako za ACT waeleze wasiokaa Kigoma,mimi nipo mjini Kigoma na CHADEMA bado nistrong kama ilivyokuwaBaada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Mbona Mbowe alituhumiwa kukaa na Mkono na kuchukua hela ili hasipige kampeni Musoma vijijini Mkono apite bila kupingwa, ulishamsikia Mbowe akikanusha tuhuma hizo? Nikinukuu gazeti la Mwananchi Mbowe alisema tatizo siyo kuchukua hela, ila unazitumiaje!
Huyu yeye naye tumwite msaliti kwa kuuza jimbo?
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?
Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?
Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??
Ni aibu Mkoa mzima Kumtii Zitto, Ni aibu Kama watu wa Kigoma Walifuraishwa na Zitto Kuanzisha CHAMA ndani ya Chama. Ni hatari sana Kwa Watu Kufuata Siasa za Kiukanda, Kimkoa.
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Umeandika maneno mengi kutaka kupotezea, lakini jambo hasa ulilotaka kusema ni kwamba Zitto na Peter Serunkamba wamekubaliana kubadilishana majimbo ya kugombea ubunge! Sasa mtu anayekaa na CCM kukubaliana kuhusu mahali pa kugombea, jina gani hasa linamfaa?
Zito ni mkombozi wa watu wa kigoma, kabla yake tulikuwa na wabunge ambao walishindwa kutuletea maendeleo .Baada ya zito kabwe kuingia bungeni tumeshuhudia maendeleo makubwa. Kiujumla kaubeba mkoa wote wa kigoma. Zito ni raisi wa kigoma. Huo ndio ukweli.