CHADEMA yafutika Kigoma

Hatutaki kura za waha kura ambazo ni za majungu ndiomana wapo nyuma kimaendeleo
 

Hongera zao wana Kigoma kwa kulitambua hilo!!!
 
Mnahakika kuwa hilo lkn metokea kweli au mnapaparika tu,acheni kufikiri na kutenda kwa kiwango cha watotot wa chekechea il khali mna miaka ya vibabu
 
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?


Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?


Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??

Kinaonekana kama CCM B hivi. Vision yao na malengo ni yale yale ya CCM ukiondoa sifa ya ufisadi.
 


Kwahiyo ACT ni chama cha Kigoma pekee na marafiki wa ZITTO ??

Nyerere yuko wapi???
 

Hivi ni nani aliyegombea kule kwa Nimrodi Mkono kwa ticket ya Chadema kweli?
 

Siyo kweli, sisi ni wana kigoma bado CHADEMA tunaikubali, pigs UA .
 
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?


Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?


Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??

Mission si kushindana na Ccm au Cdm balI Kuongoza nchi ktk misingi ya haki na sheria bila kujali dini ,kabila au tabaka fulan ktk jamii uzalendo ndio nguzo yetu kubwa
 
Chadema haiwezi futika kigoma, hata mimi nipo kigoma mbona tupo wengi hatujakimbia kumfuata huyo msaliti. kimsingi huyu zzk kashafutika kwenye jukwaa la siasa na amejimaliza kabisa. Chadema daima ipo na itaendelea kuwepo na wasaliti wote wa chama lazima waondolewe. Kasulu watu kama kina Mwalimu Kaijage tuliwatoa kwa sababu ya usaliti na uroho wa madaraka
 
Sasaa chadema kama imekufa huko na nccr je? Mnalo hamchomok nyie
 
Mission si kushindana na Ccm au Cdm
Teh teh teh kwahiyo nyie ni asasi ya kiraia? Maana dhumuni la chama chochote cha siasa n kushindania ushindi Wa dola sasa ukisema lengo lenu si kushindana na CCM Unachekesha!!!! Ndo maana tunasema Zitto kafulia
balI Kuongoza nchi ktk misingi ya haki na sheria bila kujali dini ,kabila au tabaka fulan ktk jamii uzalendo ndio nguzo yetu kubwa

Sasa utaongozaje nchi bila kushindana na kushinda ktk chaguzi?

Ha ha ha ha ACT hamna dira Kama ilivyo kwa chama cha kina Dovutwa....
 
Huu ndio ukabila. Na nachelea kusema kuwa kama uliyoandika hapa ni kweli, watu wa Kigoma wanaongoza kwa ukabila na ubaguzi hapa nchini. Yaani wao wanamsapoti mwanasiasa au kiongozi kisa katoka Kigoma. Kama huu si ukabila ni nini? Uthubutu wa kutuhumu wenzao kwa ubaguzi wa kikabila wanautoa wapi? Watawezaje kumtuhumu mtu kwa ukabila kama sababu ya wao kuhama chama ni kufukuzwa kwa mtu wa kabila lao? Can someone please explain this to me? Maana mtu unatoa tuhuma kwa jambo ambalo wewe ni kinara. Kama huu si uzuzu ni nini?
 

Umesahau kuwa Kigoma kuna NCCR - MAGEUZI,we kalia CHADEMA tu.UKAWA oyeeeeeeeeeee!
 
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?


Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?


Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??

Vyote kwa pamoja akuanzae mmalize
 
Jina sahihi ni wao wao b, nilikua kgm town mwaka jana act walianza mapema kumnadi mpendwa wao mwenye uchu na madaraka eti atagombea jimbo hilo la kgm mjini, kule kaskazini alikosa mvuto.

Angekosa mvuto angekuwa mbunge?
 
Msaliti ni msaliti tu hakuna mpinzan anaeongea na kupanga mambo ya kubadilishana jimbo na chama tawala kwa manufaa yao ukamuita mpinzan

Wewe ni hayati shekhe yahaya mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…