Chadema yafunika Mwanga

Chadema yafunika Mwanga

Ni wakati muafaka sasa kwa cdm kujizatiti ktk ngazi za chini wadhibiti selikali za mitaa ktk chaguzi zijazo. Mabalozi ndo wameiangusha cdm igunga kwan wana influence kubwa na intelijensia ya msingi kwa chama, wana uwezo wa kudhibiti hatua zozote za hujuma kama ununuzi wa shahada kutoka kwa mahasim wao!. Ova
 
Hongereni sana makamanda,msirudi nyuma,namkubali sana Kamanda Nanyaro,ni mwanaharakati wa ukweli,na miongoni mwa vijana wachache wa chadema ambaye yupo focused
 
nyie ndo mnaodanganya watu.mnahadaa wananchi hata tanzania hamuijui.huu ni ujinga ulopindukia..wilaya ya mwanga iko mkoa wa kilimanjaro.
Samahani mkuu sikujua kama nyinyi mnaoijua Tz lakini hamjui matumizi ya herufi kubwa na ndogo mmo humu(mwanga=Mwanga)!! Tuliza Tikitimaji lako kibaraka wa Nape!!
 
wapare katika mkoa wa kilimanjaro tunatia aibu sana,kwa kuikumbatia CCM sijui ni kwa maslahi ya nani!!!!wilaya ya same ipo tangu enzi za mkoloni lakini mpaka leo hakuna maji ya uhakika
 
wapare katika mkoa wa kilimanjaro tunatia aibu sana,kwa kuikumbatia CCM sijui ni kwa maslahi ya nani!!!!wilaya ya same ipo tangu enzi za mkoloni lakini mpaka leo hakuna maji ya uhakika

vaathu veenda mpunde du! kwa ngono hawawezekani, looh! na makombere.
 
Mwanga inakaribia kuwa jino moja tuu inawaka.2mefanya Maandamano kilomita 3 pia tumefunga barabara ya Dar Moshi kwa muda kutokana na hamasa za Vijana.Ccm lazima Ing'oke hapa Mwanga.MAGEMBE mlaini kama maini.
 
Tuwe tunawaambia hao wananchi kwamba wawe wanajitokeza kupiga kura pindi uchaguzi unavyojitokeza sio kifunika maana hata igunga cdm mlifunika?kama show ya fally ipupa
 
hv kale ka tv ketu kachedema tutadanikiwa kukaanzisha tuweze patia wananchi elimu ya urai,
 
hv kale ka tv ketu kachedema tutadanikiwa kukaanzisha tuweze patia wananchi elimu ya uraia
 
Wakati ccm wakilewa na kujipongeza sisi tuendelee kuamsha na kuelimisha wananchi.
VIVA CHADEMA.
 
Ninawashukuru sana wananchi wa Mwanga jana mlinitia moyo kwa kujitokeza kwa wingi. Vile vile mlikiri kuwa washabiki wa kisiasa kwakutojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kuniahidi mtaenda jiandikisha kipindi kikifika. Mkutano ulikuwa mzuri sana.
 
Kamanda Kilewo jana uliwatia vijana wa mwanga ujasiri wa hali ya juu sana, hongera sana kamanda ulitoa ujumbe ambao hautotoka masikioni.

Ushauri wangu.
Mwanga inahitaji mikutano ya mara kwa mara, tunakuomba sana utie kambi mwanga hata mwezi mmoja na tupo tayari kuchangia hela za mafuata ili mradi ufike kwenye kila kijiji cha mwanga na vitongoji vyake.
 
Leo tutakuwa na mkutano wa hadhara Arumeru mashariki kwa kamanda Nassari kesho tutakuwa na mkutano Siha. Wao wanasherekea sisi tunaendeleza ukombozi
 
Wanachama na wapenzi wa chadema na wananchi wasio na vyama lakini wanao uchukia ufisadi,dhuluma,wizi wa kila aina,uonevu na namna nyingine yoyote inayokwamisha maendeleo na kusababisha ugume wa maisha hapa TZ huu si wakati wa kulala,na kama kweli tunayachukia mambo yote maovu yanayofanywa na Magamba-CCM basi this is the right time kupigania ukombozi,iwe kwa kutoa elimu ya uraia na kuhakikisha watu wengi inawafikia,kupitia njia mbalimbali,ikiwemo majukwaa kama hili,kuhakikisha tunajiandikisha kupiga kura na kwa wale ambao wana kadi za mpiga kura kuzitumia pindi unapotokea uchaguzi,kushikamana kwa umoja wetu kufanya maandamano ya amani kupinga mambo yote maovu na kudai haki zetu,na hakuna kulala,tuwe na moyo wa kizalendo na hata kujitolea kwa ajili ya ukombozi wa taifa hili,tujitume na tuwe ujasiri,si ujasiri wa kutenda maovu la hasha bali ujasiri wa kulikomboa taifa hili na ujasiri wa kudai haki kwa njia ya amani,kutetea unyonge wetu,ujasiri wa kushiriki kudai katiba mpya na kushiriki kwenye mijadala ya awali ya kuandika katiba mpya,na tusikubali ulaghai wa ubwabwa na vi-tishirts.
Wakati ni huu hakuna kulala mpaka kieleweke,Tuwaunge mkono vingozi wa vyama na mashirika ya kiraia wanaoonekana wazi kuutetea haki za wanyonge,tuwape support na tuungane nao kujitetea wenyewe,na vijana wote nawaasa hili ni jambo sensitive sana na wala si la kufanyia mzaha hata kidogo,kama kweli nimtanznaia na uko hapahapa na unayafuatilia mambo ya nchi hii,naamini utajiunga rasmi leo kwenye vita hii ya kulikomboa taifa hili ili nasi tuwe huru na tuondokane na udumu wa maisha.the country is drastically rotten,at the same time the country is out pilot na ndo maana unayaona mambo yanakwenda ovyo ovyo tu,ndo maana leo nape anaibuka na kututangazia wazi kuwa nchi hii ni ya mali ya CCM.
Jamani hakuna kulala mpaka kieleweke,Peoooooplez Poweeeeer! Alunta Continua
 
Katika wote Joshua Nassari ni funika bovu.Huyu dogo atafika mbali sana,Mungu aepushie mbali lakini laiti jimbo la Arumeru lingekuwa wazi mbona ingekuwa raha...
mkuu, huyu dogo ni jembe la hatari sana!!
he has what it takes!!
 
Back
Top Bottom