CHADEMA yaendelea kufanya makubwa Arusha

Kama si ka mchezo ka kuwakusanya watu wachache mkapiga picha kwenye mabomba ya maji ya zamani tu basi hongereni!kudanganya ni jadi yenu!haya huyo muota ndoto/mbeba maono ya chama chenu kawafanyia nini?
Diwani alihamasisha wananchi nyumba Kwa nyumba wakachimba mtaro Kwa nguvu zao na wenye fedha wakachangia vifaa vya bomba.
 
Afu kuna washakunaku wanasema eti hakuna la maana linalofanyika Arusha
 
mtwara,lindi na Ruvuma hii mikoa n reserve ya kula za ccm so hampaswi kuletewa maendeleo,wakileta maendeleo watawadanganyia nn? hyo mikoa kama vle mtoto mdogo hudanganywa kwa pp il alale!
HIVI UNAJUA MTWARA NA LINDI KUNA WABUNGE WANGAPI WA UPINZANI ????

KAMA ULIKUWA HAUFAHAMU BASI FANYA UCHUNGUZI KISHA ULINGANISHE MOSHI NA ARUSHA.
 
Katika madiwani wanaofanya kazi Arusha kwa sasa ni huyu jamaa
 
Kama si ka mchezo ka kuwakusanya watu wachache mkapiga picha kwenye mabomba ya maji ya zamani tu basi hongereni!kudanganya ni jadi yenu!haya huyo muota ndoto/mbeba maono ya chama chenu kawafanyia nini?
Huwezi ukajua kama ni mabomba mapya maana hapo "Maneromango" ulipo ni mbali sana na Arusha, kazi unayo ya kukanusha kila kitu kilichofanywa na CDM....
 
Arusha inaziidi kudidimia kuchumi chini ya Chadema!
 
Kwani chadema wanakusanya kodi??

Asante Magufuli na RC Gambo kwa kutuletea maendeleo
 
Kwa hilo la kushughulikia kero la wananchi, hongereni sana waliohusika. Huo ndiyo mfano mzuri wa upinzani wa kuonesha mabadiliko kwa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…